cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,772
- 5,308
sawa mkuundo katikati?
apo apo then
wazee wa yechu yechu
tatizo corona chalianguwengine wanajichetua tu sister
duh sawa.Nendeni Dubai au China
nione nini
kamanzi kanasumbua mzee
ntakucheki nikitimba chalianguLeta namba nimvutie ng'ora ukiibuka fasi ya Chugastan uje umdere maghetoni Ngarna. Yasirire.
sawa mkuuInafaa manzi ndo akufate
Ila ukitaka kujiongezea points unaweza ukamfata wewe .
Sent using Jamii Forums mobile app
noma mzeeOgopa saana mwanamke kukuita kwake/kwao. Unaweza kufika arusha ukakosa unachokitaka na ukarudi dar ama kwa lift au kwa miguu ama ukiwa mlemavu. Sio wote lakini unaweza kuandaliwa zengwe hapo mpaka ushangae. Utauza mpaka line uiyosajili kwa namba ya nida uliyoisotea kwa kupigwa jua kwenye foleni.
age is just a numeraluna umri gan?
sawa mamiloo
Aje dar ila hakikisha unalamba tigo yakekuna msichana nampenda sana japo tumepotezana kama miaka miwili yeye yupo arusha mimi nipo dar. sasa nikimcheki aje dar anadai mimi niende arusha. ila naona akija dar ndo nakuwa confortable kwan nakuwa kwangu kuliko kwenda arusha. ushaur4 wenu wandugu.