chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,146
- 2,338
Kuna msichana nampenda sana japo tumepotezana kama miaka miwili yeye yupo Arusha mimi nipo Dar. Sasa nikimcheki aje Dar anadai mimi niende Arusha ila naona akija Dar ndio nakuwa confortable kwani nakuwa kwangu kuliko kwenda Arusha. Ushauri wenu wandugu.
