Je, ni wangapi wasiotamani kupata watoto?

Sasa hao bakwata wanaishikilia ya nini ndoa. ..?

Au kwa sababu ni matajiri... Waivunje hiyo ndoa...

Mbona yajuzu mwanamke kuomba talaka kama anahitaji kupata mtoto...

Huyo mwanaume alazimishwe amuache huyo mwanamke... Ingekuwa tatizo lipo kwa mwanamke si angetafuta mke mwingine.. .

Kuna watu wanawadhulumu wanawake huku wanashuhudia.
 

Wapi Mungu alisema utaenda Mbinguni?

Mwanadamu aliumbwa Ili aishi duniani. Dunia ndio kwetu, hizo zingine porojo.

Kumbe uoga wa watu wajinga ni kwa sababu ya kwenda mbinguni Dooh! Wewe badala uwe muoga kwa kutofuata maagizo ya Mungu unakuwa muoga wa matokeo. Huna ulichoepuka hapo.
 

Wapi Mungu alisema utaenda Mbinguni?

Mwanadamu aliumbwa Ili aishi duniani. Dunia ndio kwetu, hizo zingine porojo.

Kumbe uoga wa watu wajinga ni kwa sababu ya kwenda mbinguni Dooh! Wewe badala uwe muoga kwa kutofuata maagizo ya Mungu unakuwa muoga wa matokeo. Huna ulichoepuka hapo.
 


Upo sahihi, lakini mada imejikita kwenye kuzaa. Na ndio maana nami najikita humo humo. Haimaanishi sijui kunakulea.
 
Umejuaje hili ? Naomba ushahidi wa hili.

Unatumia vigezo gani kukanusha suala la kwenda mbinguni ? Ukweli ni uli na kwanini na tupe ithibati juu ya unachokiamini.
Umejuaje hili ? Naomba ushahidi wa hili.

Unatumia vigezo gani kukanusha suala la kwenda mbinguni ? Ukweli ni uli na kwanini na tupe ithibati juu ya unachokiamini.


Ipo hivyo Mkuu. Ukifa ndio imetoka. Hakuna maisha ya milele kwa kiumbe, Mungu ndiye anaishi milele. Ukilijua hilo hutadanganywa. Linda maisha, thamini uhai. Kwani ni Mara moja tuu.
 
Usizae kama uwekezaji maana kweli haina guarantee kuwa hao watoto watakuja kukusaidia.
Ile mimi kupata mtoto kwangu was a blessing in disguise. Nilipopewa taarifa na glory kuwa ana ujauzito wangu nilitahamaraki sana. Kwa muda huo sikuwahi jipiga picha eti mimi niitwe baba.
Lakini niliweza overcome ile shock na kuchukua majukumu ya kulea mimba mpaka mtoto anazaliwa. Leo hii mtoto kanifanya kuwa responsible, kanifanya niwaze kuwekeza, kanifanya niwe na plan na maisha ya baadae. Actually ni blessing nimepata she is now 5 years.
 
Tuna sadiki kuwa yesu hakuzaa ... Unalizungumziaje hilo " je yesu ni punguwani " ?? Wewe na yesu ni nani ambaye ni punguwani ??
Tuna sadiki kuwa yesu hakuzaa ... Unalizungumziaje hilo " je yesu ni punguwani " ?? Wewe na yesu ni nani ambaye ni punguwani ??

Yesu aliondoka akiwa chini ya miaka 40. Kwa zamani bado alikuwa kijana mdogo. Naweza kusema hakupata muda wa kutosha kuwepo Duniani.

Hata hivyo, Yesu ni kama watu wengine, anamazuri yake na mapungufu yake Kama alikuwa mwanadamu hana uspesho wowote ikiwa alivunja kanuni za msingi za dunia. Ikiwamo Uzazi.

Sijajua unavyomtaja Yesu unalenga kuwa namuonaje, wakati namchukulia kama watu wengine. Au kwasababu propaganda za waandishi zinampamba?
 
Mkuu huyo dada kaolewa kwanza, tuanzie hapo
 
Una kifaa cha kumpima mtu mninga ? Unaandika nini kijana ? Sasa sisi na wewe nani mwenye fikra finyu kuliko mwenzake, wewe ambaye unafikiria ya kuwa kipimo cha jambo fulani basi ni kwa kifaa tu.

Huwa mnatumia kifaa gani kumjua mtu fulani ni mjinga ? Siku nyingine uwe unafikiria mambo kwa mapana zaidi.
 
Ipo hivyo Mkuu. Ukifa ndio imetoka. Hakuna maisha ya milele kwa kiumbe, Mungu ndiye anaishi milele. Ukilijua hilo hutadanganywa. Linda maisha, thamini uhai. Kwani ni Mara moja tuu.
Nimekuuliza umejuaje unajibu ipo hivyo, jibu swali nililo kuuliza na utuambie huu ujasiri wa kuandika mambo usiyokuwa na elimu nayi unaupata wapi ?

Sasa wewe mbona mpaka muda hujalijua hili hakika yake na unaendelea kujidanganya mwenyewe kwamba unajua ? Jf kuna vituko sana.

Umejuaje haya mzee, mbona nakuuliza maswali marahisi unashindwa kujibu ?
 
utakuta wewe jamaa una elimu ya juu pia na kuna ndugu zako wanakusikiliza, kiwango chako cha ustaarabu ni kidogo sana mkuu

Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
utakuta wewe jamaa una elimu ya juu pia na kuna ndugu zako wanakusikiliza, kiwango chako cha ustaarabu ni kidogo sana mkuu

Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app


Nina shahada mbili, lakini hiyo haitoshi kunielezea.

Kwa kiasi Dunia nimezunguka, Nimeshaenda Fiji, Korea Kusini, Bahrain na Dubai, Norway, Brazil na Marekani.

Kwa Afrika nimetembelea Ghana, Mali na Morroco. Hii ni kusema Nina exposure kuhusu Dunia.

Jamii zisizozaa ndizo hazina nguvu. Koo zisizozaa ndizo koo masikini.

Huko Duniani mataifa yote yenye idadi kubwa ya watu ndio yananguvu. Nyie mnakalia watu wasizae kama sio upuuzi.

Kama wewe hujatembea chukulia mfano hata hapo Tanzania, makabila yenye idadi kubwa ya watu ndio yananguvu, kiuchumi, kielimu, kivyovyote vile.

Lakini vikabila uchwara havina la maana,
 

Soma Kitabu unachokiamini, kama ni Biblia soma Mwanzo sura ya 2,3.

msome Ayubu, msome mhubiri, soma maombolezo. Ukifa umekufa. Mengine ni kufarijiana.

Shetani alidanganya ukila tunda hamtakufa, alipoona tunakufa sasa anadanganya watu kuna kufufuliwa. Hahahaha!

Mungu hana muda na wanadamu tena Mkuu. Alishamaliza kazi.

Wanadamu wanachohangaika sasa hivi ni kupambana na kukidhibiti kifo. Wajinga wanasubiria kufufuliwa. Hahahaha!

Nikuambie tuu kifo kitadhibitiwa na sisi wenyewe wala hatakuja mtu kutufufua.

Usiponielewa basi Mkuu
 
Kwa hiyo China na India ndio nchi zenye nguvu kuliko zote duniani ? Maana hizo ndio zenye population kubwa ? Vp kuhusu USA na nchi za Ulaya ambazo zina watu wachache kuliko hizo ?
 
Yuko sahihi sana
 
Hapa kunachozungumziwa uwezo wa kuzaa? Ama majukumu yanayakuja kwenye malezi? Ama watoto kuwa bima uzeeni?
1. Uwezo wa kuzaa (hili mtu halipangi), kuna wasiotaka kabisa kupitia machungu ya kuzaa. Kubeba mimba hadi kujifungua kuna tabu zake!
2. Uwezo na hisia za malezi, hapa wengine hawataki kabisa kulea, hasa vichanga. Kuna wengine hata wanakua tayari kulea watoto wa wengine, ila sio vichanga.
3. Watoto kama bima uzeeni, hapa sio lazima watoto wafanye kadiri ya mahitaji ya mzazi.

Kama mtu hana hisia za kuzaa na kulea, kwa nini tumlazimishe awe na hisia hizo? Mwache apange maisha yake ya uzeeni (kama atafika) kadiri aonavyo.
 
hahahah vipi wanaopanda na hawavuni ?

ndo maana nikasema si lazima kwa sababu hakuna uhakika wa mavuno kwa ulichopanda
Una mtoto?
Una mtoto?

Muhuni tu huyo, katembea ulaya ya wapi labda ulaya ya iringa vijijini

Amejificha kwenye keyboard yake eti huoni ulaya haijajaa, JF bhana ( angetembea hasingekuwa na uwezo mdogo kiasi hiko)

Sent using Jamii Forums mobile app
Je una mtoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…