MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
- Thread starter
- #61
Usiwe na wasi wasi Nyamayao (Babra),
Hili suala lina utata mkubwa. Mimi chipimi HIV na wala DNA chipimi pia.
Mwenyewe naishi kwa kanuni ya imani. NAMWAMINI MWENZANGU (my sweet wife in this case) HADI NIPATE SABABU ZA KUNIAMINISHA VINGINEVYO. Kwa sasa bado zsiijazipata hizo sababu. Maisha yanasonga mbele!
So unatushauri kuwa hadithi tunazozisikia za kina mama/baba ambao ni wake/waume za watu wakiwa na mipango ya nje -tuzipotezee?
Takwimu zinazoonyesha ukimwi kwa wanandoa -tuzipotezee
habari za nyumba ndogo na viserengeti boys-tuzipotezee kuwa wenzi wetu katu hawawezikuwa katika makundi hayo?
What if ukijagundua kuwa mwenzi wako anayafanya hayo kisiri na mbaya zaidi uje ugundue umeshaambukizwa -utamlaumu nani?
just like the shock you get unapopewa negative results za DNA?