Je ni Swaum, Saumu au saum? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni Swaum, Saumu au saum?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by mdau wetu, Aug 4, 2011.

 1. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wataalamu wa Kiswahili funga ya Ramadhani ni Swaum, Saum, Swaumu au saumu? ipi ni sahihi?
   
 2. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  According to Quran then it is SWAUM , kiswahili FUNGA what else!!!!!!!!!!! hicho unachotaka wewe ni kiswarabu.
   
 3. J

  Juniors Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Its SWAUM from narrated of Prophet Muhammad PBUHim, huwa hasemi kwa matamanio yake ila ni wahyi, Kwa kiswahili ni funga yaliobaki ni makosa ya KISARUFI na MANTIKI...
   
 4. M

  Madaraka Amani Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Neno Sahihi ni Swaum na hilil
  inatokana na neno la kiarabu hususan kikuraishi lugha iliyoandikwa kuran. Neno lenyewe kwa kurani lina herufi tatu ambazo ni swad, wau na mim. ingekuwa herufi ya kwanza no sin ingekwa saum,
   
Loading...