Je ni sawa vyuo vya uwalimu kutoa astashahada badala ya stashahada?

Je ni sawa vyuo vya uwalimu kutoa astashahada badala ya stashahada?

Rutorial k

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
1,060
Reaction score
1,041
ikumbukwe kuwa kulikuwa na mpango wa walimu wa astashahada(certificate) kuhakikisha wanajiendeleza na kuwa na stashahada...sasa jana nikiwa ofisini ktk chuo kimoja cha ualimu mkuu akanidokeza kuwa wamepata barua inayowataka waanze kutoa certificate

pia alisema vyuo vya ualimu visiwe chini ya NACTE bali viwe chini ya NECTA kama ilivyokuwa awali.

mkuu alidokeza kuwa wale ambao tayali walianza kusoma dip in primary waendelee ila kwa mwaka huu irudi certificate.

swali langu je kuna athali zozote katika mabadiliko haya?
 
Ngoja tusubiri taarifa rasmi ya serikali maana hapo umeambiwa tu na mtu kwa mdomo!
 
kwahyo wale wenye four za 27 watachukuliw au imebak division 3
tusubiri labda neema itawashukia kama wale wa diploma walioshushiwa GPA kutoka 3.5 hadi 3.0....ni swala la maombi tu.....ila bora wangeshusha kidogo coz kinamadogo wamekosa mwelekeo kabisaa
 
Hiyo taarifa ni kweli.serikali inadai sera hii mpya ya Elimu bure imeleta wanafunzi wengi.shule zimejaa na walimu wamezidiwa.kwa hiyo wote wanaosoma diploma in primary.wameambiwa wasome kwanza certificate kisha waende kazini.alafu serikali itawapa muda wa kwenda kumalizia diploma.baada ya pressure ya wanafunzi kutulia.hii ni taarifa kwa vyuo vyote vya ualimu wa primary.Angalizo:hayamabadiliko ni ya muda mfupi kwa hiyo yatahusisha intake kama mbili tu ama tatu.kisha utaratibu wa diploma utarudi.
 
ufafanuzi kidogo, vp kwa wale ambao wameanza watalazimika kusitisha masomo?
 
ufafanuzi kidogo, vp kwa wale ambao wameanza watalazimika kusitisha masomo?
kwa wale ambao wakwishaanza wataendelea ila kwa wale wanaoanza itakuwa ni certificate sio diploma tena
 
haswaaa point yao ya msing iko vip??,,
mbona mabadiliko ghafla.. wameona nin
 
Back
Top Bottom