Sasa katika watu mil 60 wewe m1 ndio unataka aongezewe muda ndio watz wote wanataka? Nyie mnawakilisha project ya WAPWA tuinuane kwahiyo lazima msupport project ya GWAJIMA.uko cdm nn? yaaani nmetoka kusema apo sasa hv kwamba na mm nasupport aongezewe mda alafu unasema hakuna mwananchi hata mmoja? kwan mmepeleka wap akili zenu, mwaka huu mgumu sana kwenu aisee
Sio kwa NEC yenu hiyo ya kina JECHA na LUBUVA ambayo hadi MAREHEMU na WAGONJWA Waliokuwa ICU HAWAJITAMBUI walipiga kura za KATIBA MPYA.Hizo takwimu umezichukua lini? sema hataki, ikipigwa referendum hapa the majority wanaichange hiyo katiba asubuhi tu in favor of Magufuli.
Tatizo hamsomi alama za nyakati mkuu, hivi unadhani Zitto na urafi wake wa madaraka ni mjinga kujidai kusapoti mgombea wa CHADEMA mwaka huu? anajua field kukoje kuhusu Magufuli, kwa hali ilivyo kisiasa nchini hata Mbowe apewe uwenyekiti wa NEC Magufuli atashinda kwa zaidi ya 95%, hata wakileta referendum ya katiba itapita in favor of Magufuli.Sio kwa NEC yenu hiyo ya kina JECHA na LUBUVA ambayo hadi MAREHEMU na WAGONJWA Waliokuwa ICU HAWAJITAMBUI walipiga kura za KATIBA MPYA.
Lakini asiandae mkolomije!!!Mimi nadhani asiongezewe, kwa sababu kama itafutwa sheria ya ukomo wa Urais ina maanisha kwamba, kila Rais atakuwa na uwezo wa kuongezewa muda. Ubaya wake utakuja pale tutakapopata Rais asiye mzalendo; si itakuwa balaa tupu?
Mimi nadhani badala ya kumwongezea muda, yeye afanye kazi ya kumwandaa mtu makini kabisa, mwenye uzalendo, mfuatiliaji, anayejiamini, mwenye msimamo mkali na mwaminifu ambaye atakuwa Rais baada ya yeye.
tatizo baadhi ya viongozi haswa wa kiafrica ni corrupt ni wachache sana ktk bara letu la afrika ndio maana unaona nyota ya Magufuli inangaaa ulimwenguni kwani ni Rais ambaye ameonyesha kutetea Rasilimali ya nchi yake kwa manufaa ya wananchi yake, vita hii amepigana na wanyonyaji mabeberu bila woga wala kutetereka wala kushawishika. ni Rais asiye na tamaa ya kujilimbikizia mali, ujasiri kama kama wa Magufuli ni kipaji cha pekee, inawezekana wapo baadhi wenye sifa kama zake basi wanapaswa watunzwe na waandaliwe kwa Faida ya taifa letu.Na hii ndio weakness ya Magufuli. Badala ya kuandaa na kuhakikisha kuna institutions and means thabiti za kumbana mtu yeyote na genge lake watakaokuja baada ya muda wake kuisha, yeye yupo busy kujijenga yeye. Hatuhitaji watu thabiti saaana wenye tendencies za udikiteta.
Tunahitaji mifumo thabiti ambayo itahakikisha mambo mazuri yanatendeka hata kama Rais ni kilaza. Sasa hivi Magufuli anasamehe wezi majukwaani na sisi (including polisi na mahakama) tunashangilia 😉
Unataka tushabikie chama gani!?Achana na kushabikia ccm kabisa. Hiki chama kipo madarakani miaka 60 sasa. Huko tunapokwenda kuomba misaada hawaachii chama kutawala zaidi ya miaka 8 lazima wabadilishe. Sisi tunashabikia chama kimoja miaka 60 halafu tunakwenda kuomba omba, wanatucheka na kutushangaa sana.
Ushabiki wa ccm hapa Tz upo zaidi mikoa iliyo nyuma zaidi kimaendeleo. Ukiendea mikoa ambayo watu wake wana uelewa wa mambo na wapo vizuri zaidi kiuchumi kama vile Dar es Salaam na Kilimanjaro utaona watu walishaachana na ccm kwa kiasi kikubwa. Inashangaza nyie vijana mliozaliwa mkaikuta ccm bado mnashabikia chama hiki ndio maana hatuendelei.
ni kweli nanufaika sana!Sababu wwe ni mnufaika, umeshawahi sikia Kange akisifu tena zile Tambo sababu anufaiki nazo
Sasa katika watu mil 60 wewe m1 ndio unataka aongezewe muda ndio watz wote wanataka? Nyie mnawakilisha project ya WAPWA tuinuane kwahiyo lazima msupport project ya GWAJIMA.
Labda nikuulize wewe na mendeleo ya tumbo lako manake ukimwona mtu anang'ang'ana na ccm anatafuta maendeleo ya tumbo lake, hilo liko wazi sana.
Sasa uko tayari kusikia NCCR lakini sio CDM? Unaona kabisa hata ccm sasa wanataka kutumia NCCR kuikabili CDM. Unajua bwana madaraka ni matamu, sawa ndio maana ccm kwa hali yoyote hawataki kuachia nchi kwa chama kingine na sasa wanafanya udikteta maana wanajua kuwa adhma yao ya kuua upinzani inafanikiwa na wananchi watalia lakini hakutakuwa na chama kitakachoweza kuwapigania.mimi nawashauri, tafuteni tu mada nzuri ambayo mnaweza kuaminisha wananchi kama unataka kuiongoa ccm, maaana mm sina hata kadi ya ccm na wala sio mshabiki wa vyama ila namuunga mkono magu, kwakua yupo ccm inabidi nimpigie tu kura yangu uko uko:
ccm ina mapungufu lakini ni mapungufu ya kawaida, yanaeleweka! mfano ccm inaweza kua wanaongoza kwa ufisadi lakini ni watu wana sera!
ila sasa ndugu zetu hawa wasaliti cdm, yaani hata kama hawana ufisadi ofwhich wanao ufisadi lakini stakaa niipigie kura , kwa mlichofanya 2015 sina ham hata kuiskia, mara mia NCCR , cdm uchwara
Sasa uko tayari kusikia NCCR lakini sio CDM? Unaona kabisa hata ccm sasa wanataka kutumia NCCR kuikabili CDM. Unajua bwana madaraka ni matamu, sawa ndio maana ccm kwa hali yoyote hawataki kuachia nchi kwa chama kingine na sasa wanafanya udikteta maana wanajua kuwa adhma yao ya kuua upinzani inafanikiwa na wananchi watalia lakini hakutakuwa na chama kitakachoweza kuwapigania.
Inashangaza kuwa hata wasomi wa Tz hawana uelewa kuwa upinzani wenye nguvu ni muhimu mno kwa maendeleo utakuta msomi anashabikia ccm kwa nguvu zote, haiingii kichwani.
Kwa hivyo mtatawaliwa na ccm kwa miaka mingine 60.sisi tunataka upinzani wenye tija na sio upinzani tu ilimradi: sasa ukiangalia hapa tz, yaani hakuna namna ingine zaidi ya kuipenda tu ccm maaana hata hao cdm ni uchwara, mm ni kama wananchi wengine tu wa kawaida ambao hatufuatilii siasa kiundani sana lakini tunapenda maendeleo,
sasa kwa namna hii unadhan imani na cdm tunatoa wap? yaliotokea 2015 ni mwanzo mwisho ishara ya ubovu wa chama, kwa kweli mpaka leo siamini kama mliweza kufanya upururu kama ule, ni mara mia tu kue na ufisadi lakini usimamizi unaoeleweka, sio mambo ya mtu unaona hela unauza chama, kwa kweli spo tayar kuona nchi yangu inauzwa kisa ela tu, ni bora ufisadi uendelee tu
Kwa hivyo mtatawaliwa na ccm kwa miaka mingine 60.
Huyo Mgombea wako unampenda wewe na Ukoo wenu sio waTZ wote,Kama anapendwa ruhusuni Membe na Samia wachukue form!!Tatizo hamsomi alama za nyakati mkuu, hivi unadhani Zitto na urafi wake wa madaraka ni mjinga kujidai kusapoti mgombea wa CHADEMA mwaka huu? anajua field kukoje kuhusu Magufuli, kwa hali ilivyo kisiasa nchini hata Mbowe apewe uwenyekiti wa NEC Magufuli atashinda kwa zaidi ya 95%, hata wakileta referendum ya katiba itapita in favor of Magufuli.
Kura zipigwe kwa TUME HURU sio hiyo yenu ya MFUKONI.watu bana 😂😂😂😂😂😂😂, ulisema hakuna mtu anataka saaahv unabadilisha tena! we unadhan hii mada imekuja kwa sababu naunga mkono mwenyewe? anyway wacha kura zitapigwa then ndo tutajua mwelekeo mpya wa prezidaa
BhalaaMiaka 5 watu wako hoi kiuchumi kwa kusomeshwa namba,vipi another yrs si tutazikwa kabisa