Je, ni sawa Rais Magufuli aongezewe muda madarakani?

Hivi karibuni mbunge Kessy ametoa wazo juu ya Mhe.Raisi apate kuongezewa muda wa kukaa madarakani. Na Mhe.Spika ameridhia na kusema JPM atake asitake ataongezewa muda.

Kwa mujibu wa katiba yetu ya jamhuri wa muungano ya mwaka 1977, theluthi ya wabunge wakisema ndio basi muswada umepita. Na Kama tunavyojua wabunge wa CCM ni wengi bungeni, kwa namna nyingine huu muswada au hii hoja ikienda bungeni maanake imepita.

Swala si JPM aongezewe muda, swala Ni Tanzania inahitaji kiongozi Bora au taasisi Bora? Tanzania inahitaji taasisi imara au kiongozi imara? Tanzania inahitaji mifumo Bora ya Serikali endelevu au tunahitaji kiongozi Bora endelevu?

Kwanza tujue nchi yetu inahitaji Nini. Tukishajua inahitaji Nini itakuwa rahisi kufanya maamuzi yenye maslahi kitaifa. Tunahitaji maamuzi yenye maslahi kitaifa au maslahi ya chama?

Maslahi yenye tija na Bora kitaifa, Ni kubadili kikatiba Uhuru na utendaji Kazi wa mihimiri mikuu mitatu ya serikali Yani bunge, mahakama na serikali Yani Executive.

Wazo la bunge kutaka JPM aongezewe muda halina maslahi kitaifa Bali Lina maslahi ndani ya chama.

Ipate kufahimika wazi JPM ni binadamu nae atakufa, na akifa maanake uongozi wake thabiti umepotea. Ila tukiweka mifumo ya serikali thabiti na taasisi thabiti chini ya sheria thabiti, mifumo hi ya serikali itabaki miaka na miaka. Kuliko kumpachika mtu aendelee kuongoza eti tu kwa sababu Ni kiongozi mzuri na imara, hayo Ni mawazo ya makalioni.
Ashakumu si matusi.

Hitaji la Tanzania si kiongozi imara au benovelant dictator, hitaji la Tanzania Ni mifumo, taasisi na sheria imara na thabiti.

JPM kwa uimara wake inatupasa tumtumie ili kusimika taasisi hizi na mifumo hii. Na si kumuona Kama ndie kiongozi mteule miaka kumi au ishirini mbele au thelathini mbele.

Bunge linapaswa kwanza lipiganie Uhuru wake na sauti yake juu ya mhimili serikali (Executive) na si kupitisha wazo au muswada wa kumtaka JPM azidi kubaki madarakani.

Bunge la awamu ya tano Ni dhaifu Sana, Tena chini ya spika mdhaifu. Ndugai hajui ukubwa na uthamani wa chombo anachokiongoza.

Kisiasa naweza sema anapekeleshwa na mhimili serikali (executive), wakati Ndugai mhimili wake unapaswa kuwa mhimili mama na mlezi wa taasisi zote za serikali Sasa kwake imekuwa vice versa. Tumhenzi Sana marehemu Samwel Sitta.

Bunge pia lingepaswa kuandaa mifumo Bora ya kiutawala na mifumo ya kupata na kuandaa viongozi imara na thabiti Kama JPM, na si kusimamia mtazamo wa kwamba JPM aongezewe muda.

Je, JPM siku akifa maanake ndio hatupata raisi imara Kama yeye? Mazuri yote aliyofanya JPM ndio yatashindwa kuendelezwa? Alipo ishia JPM hapato endelezwa Tena?
Wanaotaka rais aongezewe muda kwanza waongeze MUDA wa kuongoza Familia yao,TZ hatuhitaji mtu bali taasisi imara,huyo anayetaka rais aongezewe muda je marais waliopita wangekuwa na tamaa ya kuongeza muda huyo wanaona anafaha kuongezewa muda angepatikana?
 
Hata akiongezewa sawa tu
Watanzani tudai katiba mpya tuu ndio suluhisho
 
Hili swala Mh. Rais mwenyewe ameshalisema mara nyingi tu na jana karudia tena kwa kumaanisha kuwa hataki kuongeza hata siku moja muda wake wa kikatiba ukimalizika. Hawa wanaochombeza ni wanafiki,wabinafsi na wachumia tumbo,tuwaogope kama ukoma.
1591828332500.jpg
 
Nchi zote zilijengwa na watu imara.

Magufuli ni mtu imara. Tumuache atawale kwa angalau miaka 15
Hapana hii miaka mi5 tu nchi imeyumba watu hawana fedha mzunguko umeshuka mkimpa miaka 15 tunarudi kule kwenye kula mahindi ya njano na kufulia majani ya mipapai na kusikiliza redio kwa mwenyekiti wa kijiji.
 
Nyerere alikuwa kiongozi imara, lakini tuliishia kuvaa viraka, na kukosa huduma muhimu. Karne hii ni ya taasisi imara, sio ya mtu imara. Unakwama wapi bro?
Kuna mahali pia huyo mzee alifeli

Kwa mfano hii katika legevu ya sasa ni zao lake
 
Muda wa kikatiba unatosha sana, miaka mingine mitano akiongoza inatosha sana, hata umri utakuwa umesonga, katiba ibadilishwe je siku akitawala check bob tutauzwa wote, hata nchi nyingne watatushangaa sana.
 
Faida za Mkulu kuendelea na madaraka ni ndogo kulinganisha na hasara! inafaa mjadala huu ufungwe haraka sababu ukiendelea utaamsha waliolala na utaleta mpasuko wa kidini ambao haujawahi kuonekana kwenye nchi hii tangu tupate uhuru!

wabongo ni watu walafi na wanafki mno Karl Marx anasema kila kauli na kitendo cha mwanadamu ndani yake kuna maslahi! wabunge wa kijani wameamua kazi yao sasa ni kulinda maslahi yao tu kwa kumsifia Mkulu kwenye majukwaa na kumpinga na kumdharau wakimwita mshamba wanapoongea kwenye cm, ( refer Kinane na Napi) wabunge sasa kazi yao ni kumpaka Mkulu mafuta kwa mgongo wa chupa kumbe wanatetea tu matumbo yao! wabunge wamejisahau na kuwasahau wapiga kura wao na kudhani nchi ni mali yao shame on them! wabunge wanadhani wanaweza kuwaamulia wananchi lolote, kwa vile wananchi wako kimya . mimi ni kijani ila siungi mkono daima Mkulu kuvunja katiba na kusalia madarakani baada ya miaka kumi hata atujengee magorofa hewani! nchi inahitaji mtu mpya mwenye mawazo mapya kila siku!!

1. kukaa madarakani zaidi ni kupingana na mwasisi wetu Nyerere na utaratibu wa nchi miaka kumi ikiisha hatukuhitaji kukuabudu tena kafie mbele tuachie nchi yetu si urithi wa baba yako na kukaa zaidi kama Rais ni kuvunja katiba na kuzaa utamaduni mpya wa kidikteta hapa ataanza kukaa Magu ambae sote tunamkubali toka moyoni na kumsifu kwa nyimbo na mapambio , Magu atakaa miaka kumi tu ya kukurunzinza na atakaefuata atakaa hamsini hamtaweza kumtoa mwishowe atakuja atakaejiita Rais wa Maisha hamtakuwa na ubavu wa kumzuia atasema si mimi mlaumuni Magu , usidhani hawa wote kuanzia Magu watakaa madarakani zaidi kinyume na katiba kwa usalama bali vurugu inaweza kuibuka hata usiamini kama uko bongo hilo lilitokea Burundi mwaka 2015, vita yao haijaisha milele na milele Burundi ni kuviziana na kulipiziana kisasi tu kwanza ukiinyonga katiba na kujiongezea muda wa kusalia madarakani mwishoni unakufa ghafla reference ni Nkurunzinza!

2.Hapa ni hesabu tu yaani wabongo wengi akili haijai kijiko! kama Rais Mwinyi ambae pia tulimpenda angekaa miaka kumi zaidi na Mkapa ambae nae tulimpenda kumi zaidi na Mkwere alietufanya leo tuko nyumba zetu si za kupanga pesa kama yote tajiri wa roho yule nae kumi zaidi ina maana tungenunua Bombadia mwaka gani? na SGR ingekuja mwaka gani? yaani hesabu ndogo tu wabongo tunashindwa? ongeza miaka 30 mbele utapata Magu angeingia madarakani mwaka gani? na angekuwa na umri gani?na ungepata Stieglers in 2045! na Magu angeingia madarakani in 2045 akiwa Mzee!!!

3. hapa yaonekana watu wamechoka amani ya nchi hii sababu kuna sera isiyo wazi ya kupishana urais kati ya waislamu na wakristo na sasa baada ya Mkulu ni zamu ya waislam, vita ya waislam huwa si kuletea masihara sababu wao ni wengi zaidi nchini na wako tayari kufia dini yao wanapochokozwa si wa kuwapuuza kumuongezea muda Mkulu hapo mpaka utakuwa umevukwa na akianzisha sekeseke mmoja wao tu kuwa wameporwa nafasi yao ya urais balaa yake hakuna wa kuizuia, manake waislamu wa bara na wa visiwani wataungana nchi haitakalika na nchi inapaswa kulinda amani yake kwa kuwakemea wote wanaoleta mada ya kuongeza muda wa Mkulu ambae hakuna shaka ni Rais bora kuliko hata baba yetu kwa mawazo yangu!

4. Sote tunajua tabia ya wabongo ya kususa ukiwaibia haki yao na wakajua ! huku mtaani kwetu Songea m/kiti wa serikali za mitaa kang’ang’ania madaraka karudisha jina tena kwenye uchaguzi watu wamemchoka kaongoza muda mrefu watu hawakwenda kupiga kura na wanamkwepa mitaani! yawezekana mpango huo wa kumuongezea madaraka Mkulu ukawini na kusitokee vurugu yoyote kwa kuwa wabongo ni kunguru ni waoga wa virungu na mabomu ila hawatapiga kura kwa Mkulu kwa kipindi cha tatu na hawatampa ushirikiano, watu hawataenda kwenye mikutano yake ya hadhara na hawatacheka kwenye hotuba zake na watamwita Nkurunzinza na watamzomea kila atakapopita na umaarufu na thamani yake itashuka na nchi itapata shida sana kwa vikwazo itakavyowekewa na mashirika na nchi zinazoamini demokrasia, ikumbukwe mpango huu ni wa wabunge na matumbo yao si wa wananchi! atakuwa Nkurunzinza the second!!

5.Kimantiki anaweza kuwapo mzalendo mwingine kama Magu au kumzidi japo hajashika kijiti au hajazaliwa! nani alijua kama Magu ni kiboko cha wapinzani na wanaompinga na wavivu na wala rushwa na wanaokwamisha juhudi zake namna hii wakati akiwa nyapara wa barabara hatukudhani atosha urais kumbe ni kiboko sote tunalima kwa meno basi unaambiwa yupo ambae tutaamkia hata watoto wetu kama alivyofanya Makongoro wakati akigombea ubunge wa Africa mashariki! hiki ni chuma kweli ila vyuma vipo na vingine havijashika cheo huwezi kuvijua! nchi always ni kubwa kuliko mtu hata uvume vipi lazima upasuke nchi isonge!
 
Hivi karibuni mbunge Kessy ametoa wazo juu ya Mhe.Raisi apate kuongezewa muda wa kukaa madarakani. Na Mhe.Spika ameridhia na kusema JPM atake asitake ataongezewa muda.

Kwa mujibu wa katiba yetu ya jamhuri wa muungano ya mwaka 1977, theluthi ya wabunge wakisema ndio basi muswada umepita. Na Kama tunavyojua wabunge wa CCM ni wengi bungeni, kwa namna nyingine huu muswada au hii hoja ikienda bungeni maanake imepita.

Swala si JPM aongezewe muda, swala Ni Tanzania inahitaji kiongozi Bora au taasisi Bora? Tanzania inahitaji taasisi imara au kiongozi imara? Tanzania inahitaji mifumo Bora ya Serikali endelevu au tunahitaji kiongozi Bora endelevu?

Kwanza tujue nchi yetu inahitaji Nini. Tukishajua inahitaji Nini itakuwa rahisi kufanya maamuzi yenye maslahi kitaifa. Tunahitaji maamuzi yenye maslahi kitaifa au maslahi ya chama?

Maslahi yenye tija na Bora kitaifa, Ni kubadili kikatiba Uhuru na utendaji Kazi wa mihimiri mikuu mitatu ya serikali Yani bunge, mahakama na serikali Yani Executive.

Wazo la bunge kutaka JPM aongezewe muda halina maslahi kitaifa Bali Lina maslahi ndani ya chama.

Ipate kufahimika wazi JPM ni binadamu nae atakufa, na akifa maanake uongozi wake thabiti umepotea. Ila tukiweka mifumo ya serikali thabiti na taasisi thabiti chini ya sheria thabiti, mifumo hi ya serikali itabaki miaka na miaka. Kuliko kumpachika mtu aendelee kuongoza eti tu kwa sababu Ni kiongozi mzuri na imara, hayo Ni mawazo ya makalioni.
Ashakumu si matusi.

Hitaji la Tanzania si kiongozi imara au benovelant dictator, hitaji la Tanzania Ni mifumo, taasisi na sheria imara na thabiti.

JPM kwa uimara wake inatupasa tumtumie ili kusimika taasisi hizi na mifumo hii. Na si kumuona Kama ndie kiongozi mteule miaka kumi au ishirini mbele au thelathini mbele.

Bunge linapaswa kwanza lipiganie Uhuru wake na sauti yake juu ya mhimili serikali (Executive) na si kupitisha wazo au muswada wa kumtaka JPM azidi kubaki madarakani.

Bunge la awamu ya tano Ni dhaifu Sana, Tena chini ya spika mdhaifu. Ndugai hajui ukubwa na uthamani wa chombo anachokiongoza.

Kisiasa naweza sema anapekeleshwa na mhimili serikali (executive), wakati Ndugai mhimili wake unapaswa kuwa mhimili mama na mlezi wa taasisi zote za serikali Sasa kwake imekuwa vice versa. Tumhenzi Sana marehemu Samwel Sitta.

Bunge pia lingepaswa kuandaa mifumo Bora ya kiutawala na mifumo ya kupata na kuandaa viongozi imara na thabiti Kama JPM, na si kusimamia mtazamo wa kwamba JPM aongezewe muda.

Je, JPM siku akifa maanake ndio hatupata raisi imara Kama yeye? Mazuri yote aliyofanya JPM ndio yatashindwa kuendelezwa? Alipo ishia JPM hapato endelezwa Tena?
Hao wanamdanganya mzee tu kiukweli aheshimu katiba Marais waliopita
 
Wanaotaka rais aongezewe muda kwanza waongeze MUDA wa kuongoza Familia yao,TZ hatuhitaji mtu bali taasisi imara,huyo anayetaka rais aongezewe muda je marais waliopita wangekuwa na tamaa ya kuongeza muda huyo wanaona anafaha kuongezewa muda angepatikana?

inafaa ujue kwamba hii mada ya kuongeza mda ilianza kwa wananchi, demokrasia maana yake wengi wape! sasa kama wengi watapiga kura ya ndio aongezewe huezi sema kajiongezea mda!

mwenendo wa nchi unaanzia kwanzia ngazi ya chini kabisa, kama wananchi wanaona ccm ndo nafuu basi wataipigia ccm kwenye ubunge, na kama wabunge wa ccm watakua wengi basi wao ndo wawakilishi wa wananchi wote! ukweli ni kwamba hii mada ya kuongezewa mda lazima ijadiliwe, watu wakisema ndio basi heshimu demokrasia, uchaguzi wa wabunge pia utafanyika, sasa kua mpole na ufuate demokrasia
 
Hao wanamdanganya mzee tu kiukweli aheshimu katiba Marais waliopita

Tangia ameingia madarakani hajawahi kusema mm ntaongeza miaka, hii ni mada inaotoka kuanzia kwa wananchi wenyewe! sasa heshimu mawazo ya wananchi, afterall hata mm nasupport movement kwamba aongezewe mda
 
Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka, hao wanaopiga debe wana maslahi yao, dawa yao huko kwenye majimbo yso wawapige chini ili tufanane tuone kama wataimba huo wimbo wao, hizo posho zinawapa viburi, akiondoka kwa muda muafaka atastaafu kwa heshima sana.
 
inafaa ujue kwamba hii mada ya kuongeza mda ilianza kwa wananchi, demokrasia maana yake wengi wape! sasa kama wengi watapiga kura ya ndio aongezewe huezi sema kajiongezea mda!

mwenendo wa nchi unaanzia kwanzia ngazi ya chini kabisa, kama wananchi wanaona ccm ndo nafuu basi wataipigia ccm kwenye ubunge, na kama wabunge wa ccm watakua wengi basi wao ndo wawakilishi wa wananchi wote! ukweli ni kwamba hii mada ya kuongezewa mda lazima ijadiliwe, watu wakisema ndio basi heshimu demokrasia, uchaguzi wa wabunge pia utafanyika, sasa kua mpole na ufuate demokrasia
Wananchi wanataka Kikwete arudie tena urais ,ningewaona wa maana wabadilishe katiba si kumuongezea rais aliyepo bali hata wale waliopita waombe tena warudie,CCM watoe form za urais na kina kikwete nao waombe!!
 
Muda wa kikatiba unatosha sana, miaka mingine mitano akiongoza inatosha sana, hata umri utakuwa umesonga, katiba ibadilishwe je siku akitawala check bob tutauzwa wote, hata nchi nyingne watatushangaa sana.
Magufuli anafanya kazi kubwa sana ya kulinyoosha hili taifa toka kwenye utawala dhalimu wa ccm.

Tumpe muda zaidi wa kuweka mambo sawa.
 
Hivi karibuni mbunge Kessy ametoa wazo juu ya Mhe.Raisi apate kuongezewa muda wa kukaa madarakani. Na Mhe.Spika ameridhia na kusema JPM atake asitake ataongezewa muda.

Kwa mujibu wa katiba yetu ya jamhuri wa muungano ya mwaka 1977, theluthi ya wabunge wakisema ndio basi muswada umepita. Na Kama tunavyojua wabunge wa CCM ni wengi bungeni, kwa namna nyingine huu muswada au hii hoja ikienda bungeni maanake imepita.

Swala si JPM aongezewe muda, swala Ni Tanzania inahitaji kiongozi Bora au taasisi Bora? Tanzania inahitaji taasisi imara au kiongozi imara? Tanzania inahitaji mifumo Bora ya Serikali endelevu au tunahitaji kiongozi Bora endelevu?

Kwanza tujue nchi yetu inahitaji Nini. Tukishajua inahitaji Nini itakuwa rahisi kufanya maamuzi yenye maslahi kitaifa. Tunahitaji maamuzi yenye maslahi kitaifa au maslahi ya chama?

Maslahi yenye tija na Bora kitaifa, Ni kubadili kikatiba Uhuru na utendaji Kazi wa mihimiri mikuu mitatu ya serikali Yani bunge, mahakama na serikali Yani Executive.

Wazo la bunge kutaka JPM aongezewe muda halina maslahi kitaifa Bali Lina maslahi ndani ya chama.

Ipate kufahimika wazi JPM ni binadamu nae atakufa, na akifa maanake uongozi wake thabiti umepotea. Ila tukiweka mifumo ya serikali thabiti na taasisi thabiti chini ya sheria thabiti, mifumo hi ya serikali itabaki miaka na miaka. Kuliko kumpachika mtu aendelee kuongoza eti tu kwa sababu Ni kiongozi mzuri na imara, hayo Ni mawazo ya makalioni.
Ashakumu si matusi.

Hitaji la Tanzania si kiongozi imara au benovelant dictator, hitaji la Tanzania Ni mifumo, taasisi na sheria imara na thabiti.

JPM kwa uimara wake inatupasa tumtumie ili kusimika taasisi hizi na mifumo hii. Na si kumuona Kama ndie kiongozi mteule miaka kumi au ishirini mbele au thelathini mbele.

Bunge linapaswa kwanza lipiganie Uhuru wake na sauti yake juu ya mhimili serikali (Executive) na si kupitisha wazo au muswada wa kumtaka JPM azidi kubaki madarakani.

Bunge la awamu ya tano Ni dhaifu Sana, Tena chini ya spika mdhaifu. Ndugai hajui ukubwa na uthamani wa chombo anachokiongoza.

Kisiasa naweza sema anapekeleshwa na mhimili serikali (executive), wakati Ndugai mhimili wake unapaswa kuwa mhimili mama na mlezi wa taasisi zote za serikali Sasa kwake imekuwa vice versa. Tumhenzi Sana marehemu Samwel Sitta.

Bunge pia lingepaswa kuandaa mifumo Bora ya kiutawala na mifumo ya kupata na kuandaa viongozi imara na thabiti Kama JPM, na si kusimamia mtazamo wa kwamba JPM aongezewe muda.

Je, JPM siku akifa maanake ndio hatupata raisi imara Kama yeye? Mazuri yote aliyofanya JPM ndio yatashindwa kuendelezwa? Alipo ishia JPM hapato endelezwa Tena?
Itakuwa ni kilio kwa wafanyakazi wa umma in terms kwa maslahi na pensheni zao
 
Back
Top Bottom