Katika pita pita zangu nkakutana na mwanaume anafua nguo za kike, hata nilipojaribu kusogeza karibu mboni za macho yangu ili kushuhudia kitendo hiki jamaa alichokuwa anakifanya, ndipo macho yetu yalipokutana na kumuona jamaa akijiskia aibu na kuanza kuangalia chini, naam hali hii ilinifanya nijiulize je haya ni mapenzi au adhabu.
Tujadili hili wakuu
Tujadili hili wakuu