Ni ujinga tu hakuwa na sababu ya kumpotezea muda namna hiyo angepiga akasepa dada angepata mwamba wa kumioaHapana, Huyu kenge mmoja anatuharibia, we si unaona ana miaka tisa na mtoto wa watu hata mahari hajamtolea. Alafu kamzalia then anataka kumuacha.
Anazingua kichizi!Hapana, Huyu kenge mmoja anatuharibia, we si unaona ana miaka tisa na mtoto wa watu hata mahari hajamtolea. Alafu kamzalia then anataka kumuacha.
Leo dada huwa unapenda sana kuandika mambo ya waganga, ni coincidence au ni pigo zako?Baada ya miaka 9 unajiuliza yote hayo.
Huyo dada aje kwangu nimuelekeze kwa mganga akupe kisukari
Safi naendelea kujifunza mpaka kenge za aina hii zipungue! Tuendelee kuviziana tu ubaya ubwela!😎Hakuna kulegeza..
bila pesa hapendwi mtu na wakizingua tunawawekea cement kidogo kidogo kwenye nyama roast mpaka mkeka utiki.
Yote majibu ndugu yangu.Leo dada huwa unapenda sana kuandika mambo ya waganga, ni coincidence au ni pigo zako?
Hujanielewa, ukimuacha huyo mwanamke unafkiri atapewa majina gani wakati we ukila bata na totoz mpya?Single mother wameingia je apa
Na ukipata mbinu mpya unawajulisha na wenzio ili waishe kabisa hawaSafi naendelea kujifunza mpaka kenge za aina hii zipungue! Tuendelee kuviziana tu unaya ubwela!😎
Noma!!Yote majibu ndugu yangu.
Noma ya nini?Noma!!
Kabisa wanawake wazuri wanaangukia kwa wanaume *******Ni ujinga tu hakuwa na sababu ya kumpotezea muda namna hiyo angepiga akasepa dada angepata mwamba wa kumioa
Kibwagizo tu!Noma ya nini?
Niliona juzi ya steelwire,hedhi na chupa.. leo nmeona hii ya cement! Wacha ninote sehemu ili nikumbuke kwa urahisi!😛Na ukipata mbinu mpya unawajulisha na wenzio ili waishe kabisa hawa
kibwagizo kinaashiria nini ndugu?Kibwagizo tu!
Duh,Mtu kuwa too perfect inaboa 😁 nataka changamoto
Zipo nyingi sana!!! siku yakikuba shingo tuulize dada zako unataka ya muda mfupi au mrefu!!? tukupe noticeNiliona juzi ya steelwire,hedhi na chupa.. leo nmeona hii ya cement! Wacha ninote sehemu ili nikumbuke kwa urahisi!😛
Kisukari atamtesa tu mtoto wa watu huyu pimbi. apate mali afe kwa ajali mke wake tumsaidieBaada ya miaka 9 unajiuliza yote hayo.
Huyo dada aje kwangu nimuelekeze kwa mganga akupe kisukari
Shida mnawahi sana, ku confirm mambo hakuna mahali nmesema namuacha ila tu nafikiria je ni salama au ni msafi kiasi iko? Of course nilimuacha mi ndio ntakuw looser coz ye ana ajira serikalini wakati mi ni mhitimu sina kazi...Ni ujinga tu hakuwa na sababu ya kumpotezea muda namna hiyo angepiga akasepa dada angepata mwamba wa kumioa
Acha utoto.Wakuu habari za siku kidogo.
Nina muda kidogo sjaandika thread ila nipeni tips katika hili nalo taka kushare nanyi, naamini hapa kuna wajuvi na watu wenye experience za kutosha.
Nitangulize tu kusema by nature sie wanadamu haturidhiki na tunapenda heka heka sometimes.
Yes, Nina mahusiano ya muda mrefu sana about 9 years now, na niseme tu namuangalia kama mke ila deep down Kuna jambo nawaza ni kweli hajawahi katwa?? Yes nlimkuta bikra but it's doesn't guarantee kwamba hawezi kuliwa, ila inapunguza na its worth kuoa bikra Asee, japo pia unaweza kuta mwanamke si bikra na anaweza kuwa mke mwema kabisa. KILA MMOJA ACHAGUE ANACHOONA SAHIHI
Back to the story, kwa kipindi chote sijawahi ona anacheat zaidi ya wale wanaomtongoza, nimechunguza kila mahali nimeweka apps znazosave taarifa angalau nijue nyendo zake but still sjaona wala kukuta chochote, yeye si mjuzi sana kuhusu simu janja ye anajua kuperuzi tu FB, TikTok, YouTube (movie), watsapp na IG nje na hapo hana matumizi mengine zaidi ya kuchart, kupiga na kupigiwa na hajui kuhusu application settings ye anaona kama apo nyingine kama Phoenix na vi app uchwara vinavyo appear kwenye infinix 😁.
Kuna muda najiuliza je ni mwaminifu kiasi iko navyodhania???😂😂 Kuhusu kupendwa wazee napendwa bana...
Muhimu zaidi nataka nipate tips za mwisho, nimechoka kuishi kwa kudhania, nataka kufumania nipate sababu ya maana; nimemiss kuwa single ili nipambane vizuri no drama, watoto wameshakua...
Nipeni tips nje na kudukua simu yake. Akiqualify naenda kutoa mahali sasa🏃.
Asanteni
Sawa dadaake! Utakuwa umeweza sana.. ngoja kijana ajichanganye kwanza🤸🏽♂️Zipo nyingi sana!!! siku yakikuba shingo tuulize dada zako unataka ya muda mfupi au mrefu!!? tukupe notice