Ewaaa umenielewa somehow...thanks mpaka hapo.kwanza inatakiwa uwe na frigde. pili w-end fanya shopping ya mboga km nyama,samaki,kuku. unaweza kuchemsha ama kuhifanyi zikiwa mbichi au unaweza kukaanga. hzo nyama/kuku/samaki katakata katika vipande vipande ambavo unaweza toa 1 kwa 1 na kupika pasipo kukatax2 tena. nunua nyanya kiasi,hohô na karoti weka kwny fridge pia. uwe na akiba ya mchele,unga na tambi kana kwamba ukifika hm usihangaike kwenda dukan. uwe na rice cooker ili kurahisisha mapish. weka akiba ya matunda na juice ktk fridge. . .
Ratiba ya kupika ni muhimu kwani si kila siku utakula cha aina moja
Na mara nyingi hii ratiba inakuwa ni jioni tu labda siku ya jumapili na inategemea na kazi yako.
Unaweza ukaweka kila day na chakula utakachopika.
nakwambia! michuzi wa jf kasema vile vimacho nivifiche, lol! mzima weye ummu kulthum?
nakwambia! michuzi wa jf kasema vile vimacho nivifiche, lol! mzima weye ummu kulthum?
nakwambia! kisa BADILI TABIA kaweka bata, akaniambia na mimi niweke kuku nikakataa, lol! ndio nimeweka hiyo wakati nipo shule!nipo poa wangu hofu kwenu wake wa mwenyewe,kweli bwana maana ya macho yalikuwa yanaita na kuhamasisha....
Heheh.. BADILI TABIA apo ndo kichwa huwa kinauma...n at the end unaishia kula starch tu...
Nlikua najiambiaga nikiwa na fridge mambo yatakuwa a lot easier as i will have that stock of mboga za kupika..nyanya and the rest. Thing is nimenunua fridge ila bado nawaza nipike nn dat day.
Ndo nkakumbuka home sisi tulikua na ratiba the only problem ile ilikua ya kifamilia zaidi..u know makande et al. Sasa mi nmeshindwa menu za kibachelor ni zipi....yani ma alternatives mengi mengi nataka nisiwe bored.
Maana kuna siku unarudi unawaza 'wali again' unaboeka.
Ewaaa umenielewa somehow...thanks mpaka hapo.
Now, naporudi jioni ndo naamua nipike nini ama its advisable kuwa na ratiba? Like monday..wali nyama, tuesday, samaki wali...????