Bless the 12
Member
- Nov 5, 2010
- 61
- 4
Acha Sitta na Mwakyembe waendelee na kutoa maoni yao anywhere tu maana ukitaka sana kufata proper channels mambo hayataeleweka sababu yatachujwa. Lkn ni vema wasiongee tu ili kupata popularity inabidi tupate evidence kuwa wanayaongea pia kwenye baraza lao la mawaziri hasa kwa rais mwenyewe maana hicho ndicho kikao kikuu cha maamuzi serikalini.