Je ni sahihi waziri yeyote kuikosoa serikali iliyoko madarakani

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Tumeshuhudia kama mara mbili tatu hivi baadhi ya mawaziri wakiikosoa serikali hadharani au kupitia media. Tuliona katika sakata la Dowans jinsi ambavyo Mh Mwakyembe na Sitta walivyotoa opinions zao openly. Na leo tena Mh Sitta amenukuliwa aki critisize mfumo wa elimu kuwa ndio unazaa mafisadi. Nakubaliana na hii hoja lakini pia nakubaliana na sakata la Dowans.

Je nataka kujua kama media is an ideal platform for a minister to critize the goverment regardless if the criticism is constructive or not taking into consideration that he/she is the membel of the same panel.

Apart from collective responsibility, I thought ministers have the right platform chaired by the President and thought this would be the platform where they could throw their stones, crying, singing hymns, bump and dance.

Lakini pia sitaki kuamini kuwa mimi najua kuliko wao kwamba wapi wanatakiwa kutoa lawama zao, je wanafanya kwa lengo gani? Do they mean to impress Tanzanians?

I am admiring Sitta and Mwakyembe but I think they should follow the proper channel when politicking.

Thanks - Blue Balaa
 
those what you call proper channels are places where they confine everything. the best way is to use the media.

6 is right.
 
on paper, right?

if so, those are not ethics to follow.

My GOD, where is this country going!!! I thought we should work hard to make our leaders follow ethics, instead we just let the train sail.
.
 
Ni kama ukimuana mwenzako kasahau kufunga zipu au sehemu za siri zipo nje utaacha kumwambia/au kusema?
 
Issue ni kwamba iwapo mtu una ethics - jee utakubali kuendelea kuwa waziri katika serikali unayoamini haina ethics? Si uachie ngazi ili uikosoe vema hiyo serikali?
 
Issue ni kwamba iwapo mtu una ethics - jee utakubali kuendelea kuwa waziri katika serikali unayoamini haina ethics? Si uachie ngazi ili uikosoe vema hiyo serikali?

Nakubaliana nawe pMakisoke. Actually these guys wanataka kuonekana wapinnzani all the time lakini hawataki kutoka CCM au serikalini ni kitu cha ajabu kwamba hawaachii ngazi au kujitoa CCM. Yes it is unethical big time.
 
hao ni viongozi ndani ya serikali iliyoko madarakani,,, tuna proper forumsms za kucritisize but siyo publicly kwenye media
 
Proper channel unamaana gani? ulitaka aombe ruhusa ya kuikosoa serikali? au ulitaka aende ofisini kwa mkwere akamkosoe huko huko? Kwanza sidhani kama waliitisha press com. badala yake walikuwa wakitoa maoni yao kwenye baadhi ya mikutano. me poatu hatakama wangeenda Heig wakaikosole huko huko bora sms delivered!
 
I think opposition from within and without is healthy. Are you sure akisema hayo kwenye cabinet yatachukuliwa serious looking at the cabinet itself. At best atapewa nafasi ya kuongea tu akimaliza basi yanaishia palepale..:rain:
 
Kuna viongozi ambao hata ukiwaeleza ukweli wao hawatapenda kuusikia mbele ya wenzao wengi wanamtukuza mmoja( collective responsibility)...Mfano kama 6 katoa point ikapingwa na wenzake unategemea angefanyaje...plan B ni kuwa wazi anapoulizwa au anapopata nafasi ya kuongea katika jamii: Katika miiko ya uwajibikaji wa baraza la mawaziri (collective responsibility) aweza kuwa anakosea...lakini huyu ni mtu ameishajitoa muhanga kutumikia wananchi,msomi, mwanasheria na mwenye busara anayejiamini katika anayosema au kutenda...na kwa kukuhakikishia 6 katika baraza la mawaziri litakalobalishwa ndo atakuwa wakwanza kuondelewa....Hivyo sisi anaotwambia tunastahili kumpa nguvu zaidi
 
hao ni viongozi ndani ya serikali iliyoko madarakani,,, tuna proper forumsms za kucritisize but siyo publicly kwenye media

Hayo ndio yaliyotufikisha hapa.
kwa sasa some ministers wamejitolea liwalo na liwe, they are rebellion to regime by the way wanajua wamepewa hizo nafasi kwa shinikizo la wananchi. na kwa 6, yeye amewekwa huko ili apotezwe na kusahaulika. sasa asipokuwa vocal kwenye media si ndio hawa mafisadi watakuwa wametimiza azma yao. beside, 6 alikuwa amezoea kuongeaongea mara kwa mara alipokuwa bungeni, kwa hiyo ni ngumu kwa sasa kumfunga mdomo ataongea tu hata akifungiwa peke yake bado atalonga. sasa kama kuna mtu linamkera hilo atajiju!
 
Back
Top Bottom