Je, ni sahihi Msando kujibu masuala ya diplomasia?

mzalendo na masuala ya kimataifa, hata ofisi zina taratibu zake, huyu mwenzio na ile clip anayokatikiwa mkononi kweli ni wakujibu vitu nyeti
Mwanahabari Huru, Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani Mh Benjamin Mkapa asinge kubali upumbavu wa Msando kwanza Aliyetoa tamko ni Head of State department (nje) msando kwa upumbavu anawajibu ubalozi wakati tamko limetoka DC,pia yeye simtumishi wa serikali katika idara yoyote ya mahusiano ya kidiplomasia kisa ccm nakujikomba au rafiki wa RC huu ujinga umepitiliza ngoja nisikie kabudi atasemaje!au watamuwajibisha??

Sent using Jamii Forums mobile app

Msando hajakosea katika kuandika hicho alichoandika. Haki ya kufanya hivyo anayo.

Hakuna tofauti ya alichokifanya Msando na tukifanyacho humu JF.

Alichokosea ni kwenye ‘substance’ katika alichokiandika.
 
Kila Mbunge ana right ya kutumia official Bunge letter head kwenye every official communications.
P

You're right, Keyword is "Official Communication". Those official communication zinatakiwa kuwa ni mambo yanayohususiana kwa namna fulani na jimbo lako. Unapoandika barua tena to the international organization, talking about national issues, your actiong at what capacity, an MP, a Leader of opposition, or concern citizen? Maana kila moja hapo inatakaiwa utumie karatasi inayohusina na nafasi yake kama leader of opposition then use party head paper, Kama ni mwananchi wa kawaida then you do as what Msando did. On top of that, your using parliament papers kuongea na foreign organization bila kibali cha foreign office, kama sio kuvunja kanuni kwa makusudi ndio uanzishe zogo ni nini?
 
Msando anayohaki kutoa maoni yake, nyie ndugu zetu waupinzani, mbona mnataka kuwafunga wenzenu midomo, hampendi watu wamuunge mkono raisi hali mnamuunga mkono hata sherani akiitukana Serekali, hiyo ni double standard,, na mnakuwa pilitical dictators, msio penda jambo lolote lisilo kuwa lenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole Mushi Thadei akiweka uchama pembeni huwa ana MANTIKI sana.

Albert Msando ni Mpuuzi fulani anayeendeshwa kwa njaa ya Tumbo,,,,wakati alipopata hela kupitia uwakili wake na kujiweza kiuchumi alikuwa na akili nzuri baada ya kufulia hela kukata ikabidi arudishe mpira kwa kipa(CCM).
 
Huko CCM kila mtu ni papa
Nakaona ka-Msando hapo kanacheza na naniliu za wakubwa
IMG-20200202-WA0071.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha hapo ndio utajua Bavicha hawajui maana ya demokrasia wanachojua ni wao waongee chochote na wengine wasi ongee chochote hahahaha bawacha bhana
 
Mwanahabari Huru, Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Mh! Kwahiyo hata kama nchi yako imekiuka misingi ya sheria, haki za binadam na uatawala bora pia itapaswa utetee tu kwa sababu ni jukumu la wazalendo kutetea nchi yao !!!!!





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninyi ((ukiwemo mleta mada)) kila siku munatuaminisha kuwa kuwa us( marekani) ndiyo nchi yenye mifumo madhubuti ya demokrasia, ya kimahakama, ya haki za binadamu, uhuru wa kujieleza na mengine kama hayo. SASA mtanzania mwenzetu Albert Msando kutufunulia ukweli juu ya Hali halisi ya Marekani kwenye demokrasia, haki za binadamu, uhuru wa kujieleza, na ubaguzi wa wazi wa rangi na dini. Kama mnaudhubutu kanusheni hoja za Msando kwa ushahidi usiotiliwa shaka kama ni waungwana!

Mnatupigia kelele tufuate mfumo wa US wa undeshaji mambo...kumbe ni uovu mtupu!
 
Ole Mushi Thadei akiweka uchama pembeni huwa ana MANTIKI sana.

Albert Msando ni Mpuuzi fulani anayeendeshwa kwa njaa ya Tumbo,,,,wakati alipopata hela kupitia uwakili wake na kujiweza kiuchumi alikuwa na akili nzuri baada ya kufulia hela kukata ikabidi arudishe mpira kwa kipa(CCM).
Hujajibu chochote kilichozungumzwa na Msando
Msando hajaongea kwa niaba ya yeyote kaongea yeye kama raia mwenye uhuru wa kutoa maoni.
Na katika angle aliyojikita ya kujaribu kuonyesha kwamba huenda kuna jambo jingine USA wanalitaka kwetu sio masuala ya haki za binadamu na demokrasia Kama wanavyoeleza.
Nikweli maana ameeleza Msando namna USA wasivyo jali hayo ila tu maslahi yao yakiingiliwa ndipo huja na fimbo ya demokrasia na haki za binadamu kwa ncbi husika.
Ndipo unapokutana na double standard.
UKOLONI MAMBOLEO HAUWEZI KUFANYA KAZI KAMA MANENO HAKI ZA BINADAMU NA DEMOKRASIA YASIPOTUMIKA KWA DOUBLE STANDARD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanahabari Huru, Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Tunahitaji tamko la serikali "We need the government to refute with facts, for good international image, not through back doors.'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri kinachotusumbua 'na kinakachoendelea kutusumbua si suala la uzalendo bali tafsiri ya hilo neno uzalendo. Likitafsriwa kiimani au kiitikadi basi maana yake itapotea, lakini likimaanishwa kama linavyomaanisha maana yake itakamilika.
 
Mwanahabari Huru, Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Nchi imechafuliwa kwa jambo gani? Kisa we are a sovereign country ndio tusiambiwe? We are a signatory to various international treaties, conventions and protocol ikiwemo human Rights, hauwezi kuwa una violates haki za binadamu kisa wewe ni sovereign country usiambiwe.

MTU akipinga utawala huu au kiongozi wa nchi is an enemy of the state, ukitoa criticism wewe ni adui, kusema namna nchi yako inavyopaswa kuongozwa kwa mfano kuacha kutumia pesa za serikali without parliamentary approval wewe ni adui, ulisema watu waache kuwa abducted wewe ni adui, aisee mbona mambo ya kishamba haya? Kwakweli sijaona mtu au watu hatari kwa taifa ukitoa hao waliokuwa wanaleta vurugu kibiti, hawa kina Tito el al ni uonevu na unyama wa watawala.
 
1. Makonda ban
2. Mary Masenge ban
3. Msando ban
4. Mambo sasa ban
4. Sabaya ban
5. Jaffo ban and the Hague
6. Magu ban and the Hague
7. Heri James ban and the Hague
8. Mwigulu ban ,ban,ban, ban and the Hague kunyongwa
9. Kabud ban ila macho yake yamemsaidia kuona mbali
10. Pole pole ban
11.
12.
13.
 
Back
Top Bottom