N Nkwabichalleslutonja Member Jul 12, 2017 84 77 Oct 27, 2017 #1 Ivi ni sahihi mpenzi wako kuweka password kwenye simu yake?
Behaviourist JF-Expert Member Apr 8, 2016 39,902 95,407 Oct 27, 2017 #4 MO11 said: ni sahihi Click to expand... Yule wa kwako wa JF mliekorofishana kiaina ni lini utaiweka hiyo story hapa JF mkuu?
MO11 said: ni sahihi Click to expand... Yule wa kwako wa JF mliekorofishana kiaina ni lini utaiweka hiyo story hapa JF mkuu?
usser JF-Expert Member Sep 25, 2015 13,901 13,870 Oct 27, 2017 #5 Unachunguza cm ya Mwezio unatafta nn Huko
charty JF-Expert Member Oct 28, 2013 7,460 5,975 Oct 27, 2017 #7 Kama mnapendana na kuheshimiana kweli hamna haja ya password!ila kama ni kwa ajili ya kufurahishana ni sawa kabsa kuficha.
Kama mnapendana na kuheshimiana kweli hamna haja ya password!ila kama ni kwa ajili ya kufurahishana ni sawa kabsa kuficha.
Anakuja Yesu JF-Expert Member Mar 3, 2017 564 485 Oct 27, 2017 #9 Inategemeana mkuu na maisha yenu,mazingira ya mapenzi yenu nk.
Internal JF-Expert Member Feb 23, 2017 3,575 3,894 Oct 27, 2017 #10 Aweke tu kupunguziana umri sio ishu