Nimeileta hii mada kama swali, kutokana na changamoto ambazo huwa zinajitokeza katika mahusiano!
Unakuta mwanaume ameishi na mwanamke kwa kipindi cha mwaka mmoja au miwili bila ndoa, inafikia kipindi mwanamke anaanza kumuuliza mwanaume kuhusu namna anavyoutumia mshahara wake ama mshahara ni kiasi gani, mali alizonazo, ilihali hawana ndoa!
Sasa ikiwa mtu ana mpango wa kumuoa mwanamke anayeishi naye, je kabla ya ndoa ni sahihi mwanaume kumwambia kipato chake na namna anavyokitumia...?
Huwa wanawake inakuaje wanataka kuyajua hayo ilihali hamna ndoa.. na wakati mwingine baadhi ya wanaume unakuta hata hawafuatilii vipato vya hao wanawake..?
Wadau hebu tushauriane kwenye hili, lipi ni sahihi kufanya!!