X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,610
- 1,810
Nukuu ni pale utakapo pandishwa kwa Jugde, ndio utajua nguo inatakiwa hiwe vipi.Unaweza kutupa nukuu tafadhali zilipoandikwa!!
Nukuu ni pale utakapo pandishwa kwa Jugde, ndio utajua nguo inatakiwa hiwe vipi.Unaweza kutupa nukuu tafadhali zilipoandikwa!!
Kwahiyo hiyo ndio style ya kuvutia wateja ili wakope zaidi
Watanzania tunashangaza sana. Yaani udhalilishwaji na unyanyaswaji wa wazi kabisa na ulio dhahiri lakini eti wengine ama hawauoni au wanamlaumu mhanga?
Huyo dada wala hajavaa vibaya kihivyo. Na hata kama angekuwa amevaa vibaya HAKUNA HATA sababu kidoggo inayohalalisha yeye kuzongwa namna hiyo. Hata kama alikuwa kakiuka sijui mila na nini (kisingizio ambacho mimi nakikataa) bado alikuwa hastahili kufanyiwa alivyofanyiwa.
Kuna kitu nimeanza kukiona miongoni mwa Watanzania. Unaweza ukawaibia na wao wakaona ni kawaida tu. Unaweza ukawanyanyasa na wasione ubaya wowote na hata kumtetea mnyanyasaji. Ukiukwaji wa haki za msingi za binadamu umetapakaa na watu wamekaa kimya tu kama mapopo.
Mdada wa watu kanyanyaswa na kudhalilishwa lakini hata baadhi ya wanawake kama vile wanaona alijisababishia. Poor her. A victim getting blamed. We have a loooooong long way to go.
Unapoona jamii inasupport udhalilishaji, lynching, unyanyapaaji tena so selectively ujue kuna tatizo si kidogo!!!!!
Uhuru gani huo usio na mipaka, basi watu waruhusiwe tu, watembee uchi, na pia mtete pia biashara ya Ushoga na ukahaba...! Na uvutaji wa Bangi.
Nukuu ni pale utakapo pandishwa kwa Jugde, ndio utajua nguo inatakiwa hiwe vipi.
Wamasai wanavaa Lubega sikatai lakini nyuchi zao hazionekani kaka...! |Si kweli maneno yako.Kwanza kaongee na Wamasai wanaokataga mbuga huku mali zao zikining'inia kama tunguli za mganga! Lakini sitashangaa ukisema wao huo ndo utamaduni wao.
Huyo dada wala hakuvaa vibaya hivyo. Ni ushenzi, ufedhuli, na mfumo dume tu ndio uliopelekea yeye kupatwa na hiyo kadhia.
Wamasai wanavaa Lubega sikatai lakini nyuchi zao hazionekani kaka...! |Si kweli maneno yako.
Na ndio maana wakazomea.Na huyo mdada nyuchi yake ilikuwa inaonekana, siyo?
Na ndio maana wakazomea.
Sawa mkuu, nahisi wewe unatetea haki za binadamu zilizo pitiliza ubinadamu...!Wewe na wenzako mnaomlaumu huyo dada mnashangaza. Ila hamna neno. Nyie kuweni kama mnavyotaka kuwa. Teteeni huo upuuzi nyuma ya pazia la tamaduni. Upakeni rangi ya mila huo ufedhuli wa hao wahuni. Na endeleeni kutetea maovu na kulaumu wahanga. Mimi nimemaliza kumpigia mbuzi gitaa. Adios.
Na ndio maana wakazomea.
ulikuwa wapi shosti manake nilishambuiwa sanaTena wakome haswa.
Msg sent & delivered. Lol.
Ahsante merytina.
be blessedjamani,kwa hio wanawake hatuna freedom ya kuvaa kile tupendacho???
mie nailaumu serikali,kwa kuruhusu hii hali....
hapo ingetokea hao wazomeaji wakapata kash kash kidogo next time wasingezomea.....
eti tunajivunia Tanzania peaceful country....my as*
ir mawindo gani kama sio uzushi?kimji kidogo vile ?anafanya kazi Shirika la mikopo huyu dada yetu.
Sina uhakika kama unaelewa ulicho kiandika.Mkuu nadhani wewe ni bingwa wa ubishi huko mtaani kwenu, picha inaonekana dhahiri lakini bado unabisha tu!!!!!