Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 237
ukame unawasumbua hao.mbona nguo ya kawaida kbsa.
Tatizo NN sio fikira za wanaume tu. Angalia fikira za wanawake humu. (@-@)
Ujue matatizo duniani hayaishi wala sababu haziishi. Kuna mwengine hajala na ana watoto wadogo sasa ni haki kwenda kuvunja nyumba ya jirani kuiba?
Kama tunataka nchi iwe na amani, basi lazima tuishi kwa kufata sheria. Hatutakiwi kuruhusu kila mtu kujichukulia sheria mkononi
Halafu umesikia mtoto wa miaka 15 kapewa kifungo cha maisha na viboko 6 kwa kumlawiti na kumbaka mtoto mwenziwe wa miaka mitano?
Tujiulize hawa watoto wanajifunza kutoka kwa nani?
Gaijin, hapo mimi ndo nachoka kabisa. Sijui hata niseme nini yaani. Hahaaa kaazi kweli kweli. Ila poa tu. Kama kuna wanawake wanaoona huyo mdada alivuka mpaka (kitu ambacho nakataa kata kata) basi wana haki na hiari yao kuwa na mtazamo huo.
Hivi sheria inasemaje kuhusu wanawake kuamsha hamasa za wanaume?, halaf mwalim hivi mwanamke akiamua atembee bila nguo kabisa kutakuwa na ubaya wowote kwa mantiki ya uhuru.
Angeendelea tu kuvaa, ili kusisitiza haki yake ya kuvaa nusu uchi.Sikulazimishi hata kidogo. Nilitaka kujua opinion yako kuhusu hao wajamaa. Kama huna unayo inayomhusu dada tu, well and good
PHP:Gaijin, hapo mimi ndo nachoka kabisa. Sijui hata niseme nini yaani. Hahaaa kaazi kweli kweli. Ila poa tu. Kama kuna wanawake wanaoona huyo mdada alivuka mpaka (kitu ambacho nakataa kata kata) basi wana haki na hiari yao kuwa na mtazamo huo.
Hata kama alivuka mpaka, ndo inahalalisha alichotedewa?
Ukimuuliza mtu ana opinion gani kuhusu alichotendewa huyo dada, anagwaya.
Kazi ya dini ni kutetea haki na usawa. Hakuna dini inayoruhusu mwanamke anyanyaswe hivi alivyofanyiwa huyu.
Au kama ipo inayokubali udhalilishaji nipe andiko
Angeendelea tu kuvaa, ili kusisitiza haki yake ya kuvaa nusu uchi.
Haizungumzii kuhusu namna ya kuvaa???
Sheria haikatazwi kuamshwa kwa hisia :] at least sio katika msingi alioufanya huyo dada. [zipo case ambazo mwanamme anakuwa raped na mwanamke NASKIA :]]
Katika nchi za nje, ukitembea uchi wa mnyama utakamatwa na kufunguliwa mashtaka, au labda ukitembea na underwear tu unaweza kufunguliwa mashitaka.
Mimi ninachopinga hapa ni hizo hatua zilizochukuliwa na wanaume ambazo wengi wanazipongeza na kusema bibie alistahili alilolipata.
Tatizo NN sio fikira za wanaume tu. Angalia fikira za wanawake humu. (@-@)
Dini hailazimishi mtu avae vipi, lakini inalazimisha haki ya kila mmoja itimizwe
Alrite alrite sasa mwalim nimekupata, Lakini kwa inavyoonesha hii picha basi huyo mzomewaji na hao wazomeaji wote wako miaka 20 nyuma ya kalenda.
halaf uskute huyu mdada ni memba wa JF tena nishawahi kumPM, dah! hizi screeen hizi.
Za UHURU WA KUVAA UNAVYOTAKA bila kuzingatia hata miongozo ya dini???
Dini inataka watu wavaaje?
Hivi sheria inasemaje kuhusu wanawake kuamsha hamasa za wanaume?, halaf mwalim hivi mwanamke akiamua atembee bila nguo kabisa kutakuwa na ubaya wowote kwa mantiki ya uhuru.
Dini ipi? Hivi dini gani inayolazimisha watu wafuate miongozo yake?
kama huyo dada anaamini mzimu jee? Dini yake haijamwambia cha kuvaa.......
Au ndo tunataka kujipa authority ya kuwa dini zetu ni bora na lazima watu wafuate mandiko yetu.
Nazidi kukuelewa vizuri zaidi . . .
Kwa vile unaweza ukawa ni MZIMU uliomruhusu huyo dada kuvaa hivyo, tukubaliane nae maana hata kuabudu mizimu ni sehemu ya UHURU
Hata kutembea bila nguo napo ni UHURU TU, tena possibly UHURU KUTOKA KUZIMU
Habari ndio hiyo. Lazima tukae tukijua kuwa Watanzania wapo wa aina nyingi. Sio kila ethic yako italandana na Mtanzania mwengine.
Kuna wengine wanaamini Budda, na Miungu mengine ndani ya Tanzania ambao hawalazimiki kufata sheria za dini nyengine. Hiyo inaitwa uhuru wa kuabudu kikatiba.
Lazima tuanze kukubali hard facts.
Sawa kabisa ndugu
Hata kutembea UCHI KABISA ni UHURU pia
Kuabudu MASHETANI ni UHURU pia
Kueneza DINI za KUSALI UCHI, kusagana na kufanya ushoga ni UHURU pia
Sure . . .
Watanzania tupo wa aina nyingi, yapaswa tukubaliane na hizi "HARD FACTS"
Jamii inapaswa kuwafikiria na kukubali UHURU wao
Sure, I got you . . .
No more doubt