Wadada!tutaendelea kudhalilishwa mpaka lini?
Mbona wakaka wanataka kutunyima uhuru wa kuvaa tutakavyo.
Qn:Vipi hii ikukutokea wewe shosti? au mkaka vipi uko na demu wako ikamtokea hii ?
Nani aliyetoa vipimo vya nguo fupi?serikali au ukame+ukata wa wavaa vitisheti vya ccm?inaanzia wapi?isoneshe kinii?
Nguo fupi relative kwa nguo ipi?
au mnataka tuvae hivi ili muridhikeeeeeeeeeeeee
wala huyu dada ni mfanyakazi wa shirika flani la kutoa mikopo limeenea tanzania nzima
Kumbe haya hayapo Kariakoo tuu eh? cc Nyani Ngabu.
akivaa uchi uchi tunamwingilia mazima sio kuvaa tu.kila mtu avae anavyojisikia na asiingiliwe na mtu
Mbona wale wadada wanaokuwa karibu na hospitali ya Aghakhan usiku wa kuanzia saa nne hakuna anayewadharirisha?Wadada!tutaendelea kudhalilishwa mpaka lini?
Mbona wakaka wanataka kutunyima uhuru wa kuvaa tutakavyo.
Qn:Vipi hii ikukutokea wewe shosti? au mkaka vipi uko na demu wako ikamtokea hii ?
Nani aliyetoa vipimo vya nguo fupi?serikali au ukame+ukata wa wavaa vitisheti vya ccm?inaanzia wapi?isoneshe kinii?
Nguo fupi relative kwa nguo ipi?
au mnataka tuvae hivi ili muridhikeeeeeeeeeeeee
Wadada!tutaendelea kudhalilishwa mpaka lini?
Mbona wakaka wanataka kutunyima uhuru wa kuvaa tutakavyo.
Qn:Vipi hii ikukutokea wewe shosti? au mkaka vipi uko na demu wako ikamtokea hii ?
Nani aliyetoa vipimo vya nguo fupi?serikali au ukame+ukata wa wavaa vitisheti vya ccm?inaanzia wapi?isoneshe kinii?
Nguo fupi relative kwa nguo ipi?
au mnataka tuvae hivi ili muridhikeeeeeeeeeeeee
Wadada!tutaendelea kudhalilishwa mpaka lini?
Mbona wakaka wanataka kutunyima uhuru wa kuvaa tutakavyo.
Qn:Vipi hii ikukutokea wewe shosti? au mkaka vipi uko na demu wako ikamtokea hii ?
Nani aliyetoa vipimo vya nguo fupi?serikali au ukame+ukata wa wavaa vitisheti vya ccm?inaanzia wapi?isoneshe kinii?
Nguo fupi relative kwa nguo ipi?
wala!Huyo dada ana makusudi
wala!
nlijiskiaa hivyo ikawa nongwa kwa washamba wa iringa stendi
washamba hawaishiKumbe ni ww huyo! Nitakutafuta...