Je ni sahihi kwa watu kumzonga na kumzomea mwanamke kwa mavazi yake

Tena wakome haswa.
Msg sent & delivered. Lol.
Ahsante merytina.

Tena wamezidi mamii
Kama ni chu** si za kwenu, wala haziwahusu
Kama ni utupu si wa kwenu, kinachowauma nini
Tembeeni hata uchi mwaya, wasiwabanie uhuru wenu
 
Hawa raiya wa Tanzania, hawajui kuwa Nyuchi (wingi wa uchi) ni mali ya serikali, so ukianika ovyo ovyo mali ya serikali majiani unajitafutia matatizo ya bure.
 
jamani,kwa hio wanawake hatuna freedom ya kuvaa kile tupendacho???
mie nailaumu serikali,kwa kuruhusu hii hali....
hapo ingetokea hao wazomeaji wakapata kash kash kidogo next time wasingezomea.....

eti tunajivunia Tanzania peaceful country....my as*
 
Hivi hiyo nusu uchi standard yake inaanzia wapi, say a skirt inatakiwa iwe na ufupi minimum kiasi gani ili isiwe nusu uchi? And who is setting these standards?
Serikali ya Tanzania ndio yenye kuseti hizo standard.
 
ukienashabakwa haubakwirukwi(msamiati mpya) hata mbakaji akihukumiwa kifo lakini ndo ushabakwa na haubakwirukwi t
 
Watanzania tunashangaza sana. Yaani udhalilishwaji na unyanyaswaji wa wazi kabisa na ulio dhahiri lakini eti wengine ama hawauoni au wanamlaumu mhanga?

Huyo dada wala hajavaa vibaya kihivyo. Na hata kama angekuwa amevaa vibaya HAKUNA HATA sababu kidoggo inayohalalisha yeye kuzongwa namna hiyo. Hata kama alikuwa kakiuka sijui mila na nini (kisingizio ambacho mimi nakikataa) bado alikuwa hastahili kufanyiwa alivyofanyiwa.

Kuna kitu nimeanza kukiona miongoni mwa Watanzania. Unaweza ukawaibia na wao wakaona ni kawaida tu. Unaweza ukawanyanyasa na wasione ubaya wowote na hata kumtetea mnyanyasaji. Ukiukwaji wa haki za msingi za binadamu umetapakaa na watu wamekaa kimya tu kama mapopo.

Mdada wa watu kanyanyaswa na kudhalilishwa lakini hata baadhi ya wanawake kama vile wanaona alijisababishia. Poor her. A victim getting blamed. We have a loooooong long way to go.
 
Hii habari niliikuta kwenye wavuti blog na ilikua inaeleza kuwa eti mdada amekaa sana ng'ambo ndo maaana amezoea vaa hivyoo! Je yaweza kuwa sababu tosha ya kuvaaa hivyooo!

Wadada tafadhaliiii!
 
si kawaida ya Wadada wa Kitanzania kuvaa hivyo alivyo vaa, bado ni jambo geni sana machoni mwa watu wengi, ndio maana yamemkuta yalio mkuta.
 
Hii habari niliikuta kwenye wavuti blog na ilikua inaeleza kuwa eti mdada amekaa sana ng'ambo ndo maaana amezoea vaa hivyoo! Je yaweza kuwa sababu tosha ya kuvaaa hivyooo!

Wadada tafadhaliiii!

Hata kama kaishi sana Venus. Hiyo harassment aliyopata hakustahili kabisa.

As a matter of fact it just showed how fcuked up we are as a society, a lawless society that is, where acts of sexual harassment are carried out with impunity and where people lack even the most basic and elementary notions of civility, the rule of law, and individual freedoms. Very sad.
 
Back
Top Bottom