Je ni sahihi kwa watu kumzonga na kumzomea mwanamke kwa mavazi yake

Wadada!tutaendelea kudhalilishwa mpaka lini?
Mbona wakaka wanataka kutunyima uhuru wa kuvaa tutakavyo.

Qn:Vipi hii ikukutokea wewe shosti? au mkaka vipi uko na demu wako ikamtokea hii ?

Nani aliyetoa vipimo vya nguo fupi?serikali au ukame+ukata wa wavaa vitisheti vya ccm?inaanzia wapi?isoneshe kinii?
Nguo fupi relative kwa nguo ipi?







IRINGA STENDI YA MKOA

au mnataka tuvae hivi ili muridhikeeeeeeeeeeeee​
huyu mwenye miwani lazima achukue namba
 
Kila nguo ina mahala pake pa kuvaa nadhani hyo hapakua mahala pake ndio maana amezomewa na pia Sisi sio wazungu

maumbile yetu sio kama ya wazungu so ni vyema kujistili sehemu za public vaa hvyo usiku au sehemu za starehe
 
Back
Top Bottom