Je, ni sahihi kwa vyombo vya habari kumuhoji mtu ndani ya mahakama?

View attachment 546312

Hili swali liwaendee wahusika wote wakiwemo wanasheria,Majaji na mahakimu,waandishi wa habari na wanaJF kwa ujumla.

Tundu lissu aliitisha vyombo vya habari katika majengo ya mahakama mjini Dodoma na kuhojiana navyo.

Lissu aliongea na vyombo hivyo na kuanza kuwashutumu polisi wa mkoani Dodoma kuwa wanataka kumkamata jambo ambalo limekanushwa na RPC Dodoma.

Nikijikita kwenye swali...kwa ufahamu wangu Mahakama ni sehemu tukufu na sitegemei kuona inatumika kama jukwaa la kisiasa.Je Hakimu mfawidhi wa mahakama husika aliridhia kwa kutoa kibali cha kumruhusu lissu kutumia vyumba vya mahakama kufanya press?
Huo utukufu wa mahakama ni upi? Tujiepushe kutumia maneno tusiyojua maana yake.
 
Kwani Kulikuwa Na Subjudice Kutoka
Kwa Jaji?
Kama Hamna Bhasi Lissu The Great
Yupo Sahihi Kisheria.
 
View attachment 546312

Hili swali liwaendee wahusika wote wakiwemo wanasheria,Majaji na mahakimu,waandishi wa habari na wanaJF kwa ujumla.

Tundu lissu aliitisha vyombo vya habari katika majengo ya mahakama mjini Dodoma na kuhojiana navyo.

Lissu aliongea na vyombo hivyo na kuanza kuwashutumu polisi wa mkoani Dodoma kuwa wanataka kumkamata jambo ambalo limekanushwa na RPC Dodoma.

Nikijikita kwenye swali...kwa ufahamu wangu Mahakama ni sehemu tukufu na sitegemei kuona inatumika kama jukwaa la kisiasa.Je Hakimu mfawidhi wa mahakama husika aliridhia kwa kutoa kibali cha kumruhusu lissu kutumia vyumba vya mahakama kufanya press?
Rejea Kitu Kinaitwa "SUBJUDICE"
Kulingana Na Issue Ya Lissu The Great Hichi Kitu Akijatolewa Any
Courtial Decree From Judge.
In Other Words The Great Yupo 100 % Correct.
OVA
 
Huwezi kuelewa "janja" ya Tundu Lissu,sababu mwaka 1994 wakati anaanza "harakati" kwa mgongo wa sheria,wewe na ndugu yako mlikuwa Wakemia wa Maabara za Chuo cha Uvuvi Nyegezi,huku kwenye akili mkiwa na kumbukumbu za kukimbia ualimu wa Kemia Sengerema.

Ile kwa Lissu ilikuwa "teknikaliti" moja hatari sana.Ilikuwa ni moja ya hatua ya kwanza kuthibitisha kwanini muhimili huo unakaimiwa na mtu mwenye uweledi wa kiprofesa,badala ya kiwa na Jaji Mkuu "kamili",ilikuwa ni hatua y kutengeneza kitini cha hadidu za rejea za somo la Civics,Topic ya "Forms of The Gvt".Miaka kumi na tano ijayo,watoto wa form two wangepata rejea ya aina ya tawala za Tanzania zilizowahi kupita.

Kuna watu duniani wameumbwa kutengeneza historia za watu,kuna watu wameumbwa kutengeneza historia,na kuna watu wameumbwa kusoma na kukariri tu historia za maisha ya watu.Jichunguze,wewe na Lissu mnaweza kuwa kundi moja?

RPC hakuwa na haja ya kwenda kumwambia hatafutwi,wakati maagizo yalikuwa atafutwe.Maamuzi yalikuja baada ya simu kutembea.Lissu anafanya mambo yatakayomuweka mahabusu kwa amri ya juu,lakini si mambo ambayo sheria inaweza kumfunga.Sheria,Udaktari na ualimu,ndio "Noble Proffesional" zilizokuwepo hata kabla ya. Yesu kuzaliwa.Hukumsikia hata Yesu akiwataja Walimu na Wanasheia?

Lissu ni Afisa wa Mahakama kama Wakili wa Mahakama Kuu.Picha na Video haziruhsiwi mahakamani kama "Sessions" zinaendelea na meza kuu imekaa Jamhuri ndani ya vazi la Hakimu.Pale ni eneo lake la kazi.Mngemkamata ndio mngejua sheria na kanuni za mwenendo wa mahakama zinakuwaje!!Walifungua makabrasha wakaagiza RPC akamtoe na si kumkamata
Uishi miaka mingi mkuu
 
Hakuna mwanaCCM anayeweza kufanya mambo ya kushushia mahakama hadhi.
Rais sio mwanaCCM???Maana alisema kuwa,muhimili unaotoa pesa lazima usikilizwe na uwe na nguvu dhidi ya mihimili mingine au hilo hulijui??Sasa hapo sio kuvunjia heshima mahakama??
 
Mleta hoja utakuwa unafahamu au kusikia neon 'Baraza' katika mukhtadha huu wa mahakama. Baraza mahakama ni mkusanyiko wa wahusika wa swala au kesi inayoendelea kusikikilizwa. Kuna hakimu, wazee, makarani, watuhumiwa nk. Baraza ni sehemu mahakama iliyopo - Barazani kama ilivyo nyumbani kwako. Unaweza kutumia baraza kwa maongezi, kulia chakula, au kuangalia luninga yako. Lisu katumia Baraza kwa shughuli nyingine ya kawaida tu isiyo vunja sheria
Naulizia usahihi upo au la?Je sasa ni ruhusa tulitumie hili baraza tutakavyo?
 
Maswali yako hayajaenda shule aisee.....Haya nikuulize kwa nini kuna kumbi za harusi wakati wenye harusi wana majumba ya kuishi. Ukipata jibu utakuwa umejijibu
Wanaharusi hutafuta ukumbi ili kuaccomodate ndugu jamaa na maraiki watakaohuzuria sherehe ya mazishi.

Sijawahi kusikia mahakama imehamia uwanjani ili kuaccomodate idadi ya wahusika kwenye kesi...labda zile mahakama za kina ponsio pilato!
 
View attachment 546312

Hili swali liwaendee wahusika wote wakiwemo wanasheria,Majaji na mahakimu,waandishi wa habari na wanaJF kwa ujumla.

Tundu lissu aliitisha vyombo vya habari katika majengo ya mahakama mjini Dodoma na kuhojiana navyo.

Lissu aliongea na vyombo hivyo na kuanza kuwashutumu polisi wa mkoani Dodoma kuwa wanataka kumkamata jambo ambalo limekanushwa na RPC Dodoma.

Nikijikita kwenye swali...kwa ufahamu wangu Mahakama ni sehemu tukufu na sitegemei kuona inatumika kama jukwaa la kisiasa.Je Hakimu mfawidhi wa mahakama husika aliridhia kwa kutoa kibali cha kumruhusu lissu kutumia vyumba vya mahakama kufanya press?
Achana na maneno "TUKUFU" kila sehemu nakwakila mtu,nyie ndiyo mnaowaita wabunge,spika, na rais majina ya MTUKUFU bila kufikiri maana yake.

Hizi ni zama za enlightment, maovu yote yanayofanywa tunayaona,wewe bado unasema UTUKUFU,ndugu yangu achana kabisa na hayo maneno.Hakuna mtakatifu wala kitakatifu.
 
Kwa muktadha ule ule mahakama inaweza kuwa hospitali pindi panapokuwa na mgonjwa?

Je mahakama inaweza kufanywa kituo cha TV au "habari maelezo" panapokuwa na uhitaji?

Je ni sahihi kufanya jambo lolote basi hata party au chochote kile pindi "mahakama" inapomaliza shughuli zake?

Je sisi kama wananchi tuna fursa ya kufanya hayo yaliyofanyika jana bila kuingia matatani?

Utanifanya niulize swali jingine tena ...kuna umuhimu gani wa kuwa na majengo ya mahakama basi?
Kama unaandamwa na dikteta uchwara unaruhusiwa
 
View attachment 546312

Hili swali liwaendee wahusika wote wakiwemo wanasheria,Majaji na mahakimu,waandishi wa habari na wanaJF kwa ujumla.

Tundu lissu aliitisha vyombo vya habari katika majengo ya mahakama mjini Dodoma na kuhojiana navyo.

Lissu aliongea na vyombo hivyo na kuanza kuwashutumu polisi wa mkoani Dodoma kuwa wanataka kumkamata jambo ambalo limekanushwa na RPC Dodoma.

Nikijikita kwenye swali...kwa ufahamu wangu Mahakama ni sehemu tukufu na sitegemei kuona inatumika kama jukwaa la kisiasa.Je Hakimu mfawidhi wa mahakama husika aliridhia kwa kutoa kibali cha kumruhusu lissu kutumia vyumba vya mahakama kufanya press?
Kwa ufahamu wako Lissu alifanya siasa humo ndani?
Nchi hii watu wa kujenga hoja hawapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom