Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,075
- 6,774
Umeona eeeh, sahivi nimebadilisha mfumo wa maisha sana. Halafu mtu anakuja kwako ukimlaza sebuleni kwenye kigodoro atalalamika oooh wamenitenga wote wamelala chumbani.kama sina vyumba vya kutosha na amekuja bila taarifa akitegemea kulala kwangu... namwambia tu ukweli kua hapatoshi na sipendi mtu alale sehemu yoyote tofauti na chumbani over...