Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 9,887
- 19,827
Exactly, plus wote waliopita (waliowahi kushika cheo hicho) ambao wako hai hadi sasa.Kwahiyo Majaliwa ni waziri mkuu mstaafu?
Exactly, plus wote waliopita (waliowahi kushika cheo hicho) ambao wako hai hadi sasa.Kwahiyo Majaliwa ni waziri mkuu mstaafu?
Akiteuliwa tena itakuwa ni kwa " mkataba"?Exactly, plus wote waliopita (waliowahi kushika cheo hicho) ambao wako hai hadi sasa.
Kipindi cha utumishi wa kiongozi fulani wa serikali ndio muda maalum wa mkataba wake kisheria. Majaliwa mkataba wake kama Waziri Mkuu wa JMT ulikoma jana, hadi hapo Mh. Rais atakapomteua upya.Akiteuliwa tena itakuwa ni kwa " mkataba"?
Huo ni mfano tu. Acha chuki binafsi.Kudos kwa mfano mzuri, ila kamwe usiweke jina la Mr Mzungu na cheo cha Urais kwenye sentensi moja. Huyo jamaa hafai cheo chochote cha uongozi kwenye nchi yetu. Anaweza kuwa raia kama raia wengine. Period.
Daah we jamaaKwa hiyo pensheni yake kama wazìri mkuu mstaafu..Inaangizwa leo kwenye account yake.?
Rais sio Mbunge.Pia Katiba inajichanganya kwa kusema mara Bunge linapovunjwa Wabunge wanakoma kuwa Wabunge, na bila ubunge mtu hawezi kuwa waziri wala waziri mkuu, ikiwemo Urais!! Yaani Rais nae anakoma kuwa Rais.
wewe master sijui nani wewe tulia sindano ipenye mshamba weweSasa ameshaapishwa waturudishie mtandao basi aagh..