Je, ni sahihi kumtambulisha Kassim Majaliwa kuwa ni Waziri Mkuu Mstaafu?

Kudos kwa mfano mzuri, ila kamwe usiweke jina la Mr Mzungu na cheo cha Urais kwenye sentensi moja. Huyo jamaa hafai cheo chochote cha uongozi kwenye nchi yetu. Anaweza kuwa raia kama raia wengine. Period.
Huo ni mfano tu. Acha chuki binafsi.
 
Pia Katiba inajichanganya kwa kusema mara Bunge linapovunjwa Wabunge wanakoma kuwa Wabunge, na bila ubunge mtu hawezi kuwa waziri wala waziri mkuu, ikiwemo Urais!! Yaani Rais nae anakoma kuwa Rais.
Rais sio Mbunge.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom