Je, ni sahihi kubadili GPA kuwa division?

ka washi

Member
Mar 9, 2022
38
32
Habar ya leo wakuu,

Poleni na majukumu ya kujenga taifa.

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada,je ni sahihi kama unafanya maombi ya kusoma stashada ya ualimu (special diproma) kwa masomo ya biology na chemistry katika vyuo vya serikali mfano, Kreluu TC, Tabora TC, Morogoro TC, n.k ambavyo vinaombwa kupitia tovuti ya moe.go.tz, kwamba kama matokeo yako ya kidato cha nne mfano ya mwaka 2014 yalikuwa katika mfumo wa (grading system average) GPA ni lazima yabadilishwe na NECTA kwenda katika mfumo wa DiVISHENI ili hali hao hao necta ndio walionitunuku matoke na cheti changu?
 
Back
Top Bottom