secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,387
- 28,813
Mmoja alisikika akisema "funguo yangu imepotea", baadala ya ufunguo wangu umepotea (umoja), au funguo zangu zimepotea.Wimbo...singular.
Nyimbo...plural.
Ninasikiliza wimbo wa harmonize.
Ninasilikiza nyimbo za harmonize.
Nilimlamba sana makofi yule mbananga lugha yetu ya Taifa, hadi leo anakiheshimu sana kiswahili.