Je ni sahihi hii kauli

Je ni sahihi hii kauli

Kiswahili kimeharibika tu kwa sasa, hatuongei tena vile inavyotakiwa, angalau hapa jf watu wanakuja na lugha zao mwisho wanajifunza.

Kuna ile mnasema, "nasikiliza nyimbo ya harmonize", yaani wimbo mmoja mtu anasema anasikiliza "nyimbo ya"!
Kiswahili fasaa hapo tuna semaje
 
Back
Top Bottom