Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
ANGALI UTAZINGIRWA MKUU.Hili ni Gari la Serekali kama linavyoonekana hapa.
tumeaminishwa chama cha siasa na Serekali ni vitu viwili tafauti na baado tumeaminishwa uchaguzi umekwisha je haya ndio maendelezo ya yale tulioambiwa kuwa mimi niwawote sitaangalia chama? Tukitoa neno tuwe na kumbukumbu pia
Safi sana
- Ni sahihi kabisa, chama tawala
Amesahau kuwa Polisi wanatumia vyombo vya serikali kulinda maandamano na migomo ya UKAWA.Umesahau kuwa Freeman Mbowe aliwahi kulitelekeza gari letu la KUB huko Kenya alikoenda kumsupport Raila Odinga
Mbowe naye ni team Odinga, ahsante kwa kutujuza.Siasa bhana mkiwa tofauti Tanzania mkienda Kenya kwa Odinga au Nigeria kwa nabii nyie ni wamoja.Zenji wana la kujifunza hapaUmesahau kuwa Freeman Mbowe aliwahi kulitelekeza gari letu la KUB huko Kenya alikoenda kumsupport Raila Odinga
Hili ni Gari la Serekali kama linavyoonekana hapa.
tumeaminishwa chama cha siasa na Serekali ni vitu viwili tafauti na baado tumeaminishwa uchaguzi umekwisha je haya ndio maendelezo ya yale tulioambiwa kuwa mimi niwawote sitaangalia chama? Tukitoa neno tuwe na kumbukumbu pia
Mkuki hua ni kwa nguruwe tu. Kama DED wa Tarime katemeshwa kwa sababu za kiitikadi usishangaeSafi sana
Yaani watz tunasisitizwa kulipa kodi kwaajili ya chama?au ndo kuwafanya watz mazoba hata mkifanya lolote watawachagua tu
- Ni sahihi kabisa, chama tawala
Usisahau pia kauli mliyotoa kuwa siasa ni mpaka 2020 sasa hapo vipi?Safi sana
Usisahau pia BAVICHA mana matamko mengi yasiyokuwa na utelezaji NA KULA POSHO ZA CHAMA BURE.....angalia tu viongozi wao...Watoto wadogo wana VITAMBI...AFU KAZI ZAO HATUZITAMBUIUsisahau pia kauli mliyotoa kuwa siasa ni mpaka 2020 sasa hapo vipi?
Ongelea hoja, acha kukwepa hoja.Umesahau kuwa Freeman Mbowe aliwahi kulitelekeza gari letu la KUB huko Kenya alikoenda kumsupport Raila Odinga
Umesema kinyume, sema hivi polisi wanatumia vyombo vya serikali kululinda ccm.Amesahau kuwa Polisi wanatumia vyombo vya serikali kulinda maandamano na migomo ya UKAWA.
Kwahiyo nisahihi mambo ya chama kuingiza Serekalini?Serikali tuliyonayo ni ya chama gani!? vya kaisary apewe kaisary,
Litakuwa la disii hili