Je, Ni sahihi CCM kutumia vyombo vya Serekali kufanya shuguli zake?

kuweka kava ya tairi ya chama chama cha mapinduzi haimaanishi inafanya kazi za chama, unaweza kuweka hata ya company yeyote kama TTCL, CHADEMA TIRE COVER, YANA TIRE COVER NA HII HAIMAANISHI NI KUWA UNAFANYA TTCL AU YANA AU CHADEMA BALI NI UMETUMIA TIRE COVER TO YENYE NEMBO AU YA TAASISI FULANI
gari ya serikali weka cover la CUF mkuu
 
Hili ni Gari la Serekali kama linavyoonekana hapa.

Tumeaminishwa chama cha siasa na Serekali ni vitu viwili tafauti na baado tumeaminishwa uchaguzi umekwisha, je haya ndio maendelezo ya yale tulioambiwa kuwa mimi niwawote sitaangalia chama? Tukitoa neno tuwe na kumbukumbu pia.
Mbona cjaona nembo ya Ccm hapo
 
Back
Top Bottom