Je, ni sahihi askari kulia msibani?

Je, ni sahihi askari kulia msibani?

Huyu nae vipi?
Tusiwajudge jamani, acha kitu inaitwa hisia. Ama ubanwe na lile donge la uchungu
Screenshot_20210320-173337_1616255711214.jpg
 
Huyu nae vipi?
Tusiwajudge jamani, acha kitu inaitwa hisia. Ama ubanwe na lile donge la uchungu
View attachment 1730258
Na kuwa namkosoa kosoa, ila leo na mimi imeniuma sana. Jamaa watu wengi walikuwa wanampenda bwana. Mimi mwenyewe jana ndipo nimegundua nilikuwa namkubali, sikuwa namchukia ila sikujua kuwa nilikuwa namkubali.
 
kifo kisikie tu kwa jirani sio mchezo.
Kwa kweli sio mchezo, juzi kati tu mimi nimetoka kulia kwenye msiba usionihusu kisa tu nilikuwa nambembeleza mmoja wa wafiwa. Ile kilio yake tu ikaniletea uchungu usiovumilika.

Mh. Magu sikulia wala sikutoa chozi alipotangazwa kafariki ila nilipata mshtuko wenye chembe chembe za maumivu. Sasa tokeo juzi sijaingia Instagram, Leo nimeenda kuna video zimepostiwa huko aisee RAIA wanaliaaa Yale machozi yao nilipata hisia flan mpaka chozi likanilenga 🙇 ikabidi nilog out 🏃

Real feelings hazivumilikii hata kidogo.
 
Tunategemea askari wetu ndio wanabeba watu wanaozimia msibani sasa na wao wanapoanza kulia inaashiria nini?View attachment 1730237
Ni emotional thing which is beyond his/her control. Siku ukifikwa ndo utajua nn maana yake. Mwanadamu yyt ana hisia za machungu au furaha. Za furaha huweza kuzuilika at least lkn za uchungu ni mbaya zaidi kuzizuia.
 
Na kuwa namkosoa kosoa, ila leo na mimi imeniuma sana. Jamaa watu wengi walikuwa wanampenda bwana. Mimi mwenyewe jana ndipo nimegundua nilikuwa namkubali, sikuwa namchukia ila sikujua kuwa nilikuwa namkunali.
Sana. Mimi Leo Instagram imeniumiza kutokana na posts za Mzee Baba.... Hakika alikuwa ni mwana wa watu, mwanga wa milele umuangazie.

Posts za MillardAyo zitatibua maumivu kwa watu wengi.
 
Sana. Mimi Leo Instagram imeniumiza kutokana na posts za Mzee Baba.... Hakika alikuwa ni mwana wa watu, mwanga wa milele umuangazie.

Posts za MillardAyo zitatibua maumivu kwa watu wengi.
Yah, you never miss a good thing until it's gone.
Nimerealize jana kuwa nilikuwa namkubali
 
Kulia wanaruhusiwa na ni sawa ila wasilie kama huyo hadi anaficha uso au asilie hadi kulegea hata kugaragara chini!
 
Back
Top Bottom