Je, ni sahihi askari kulia msibani?

Je, ni sahihi askari kulia msibani?

1616257404365.png

1616257514819.png
 
Ntajibu hili swali kwa mitazamo tofaut lkn jibu ni hili askar kulia msiban ni makosa sana tena sana sio kidpgo tena anaweza kupoteza kaz kabisa askar akipigwa kofi na bos wake haruhusiw kujishika hata shavu wanafundishwa kuwa ngali ngal

Ila kwa io picha kwa jinsi ninavyowajua JWTZ hio picha ni siasa ilitumika ili kuonesha umuhinu wa aliyeondoka JWTZ hawez kulia hata km likipigwa bomu la nyuklia pale dodoma yeye atakuwa mkavu tu
 
Kama Kuna mnuso ni sahihi Kulia msibani ili ukirudi nyumbani wewe ni kulala tuu sio uanze kuingia jikoni tena
 
Ni hawa wa mwendokasi ambao hawajaiva kimafunzo.. Jeshi halijawapika vema...lakini ni vipi kama analia kilio cha furaha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana kuwa muungwana, mwanajeshi ni binadamu anayetumikia jeshi, kutokulia hakukufanyi kuwa shujaa Wala kulia hakukufanyi kuwa dhaifu.

Huruma, upweke pamoja na upendo kwa aliyekuacha huamsha hisia za uchungu ambazo mhusika huweza kujikuta anashindwa kuzimudu.

Soldiers are humans too, they have to expose their feelings to their fallen Commander in Chief
 
labda furaha imemzidi, maana vilio vingine vinaashilia furaha.
 
Kulia si jambo baya,sababu ni jambo la kimaumbile,hii halijalishi askari au nani. Ila jambo zuri ni kujizuia na jambo baya zaidi ni KUOMBOLEZA.

Katika yale mambo manne ya KIJINGA yatakayo bakia mpaka Kiyama kinasimama hili la KUOMBOLEZA lipo.
 
Kulia wanaruhusiwa na ni sawa ila wasilie kama huyo hadi anaficha uso au asilie hadi kulegea hata kugaragara chini!
Yaap, hiki ndicho nilitaka ku-comment.

Sema ndio hivyo hisia za huzuni zimemzidi.
 
Back
Top Bottom