Je, ni sahihi askari kulia msibani?

Unawafahamu wale watoto MASKAUTI au wale vijana wa RED CROSS umewahi kuwaona wanalia? Au na wao hawana hisia za kibinadamu?
hao ni watoto wadogo wanaolelewa au hawahusiki kwani hayajawapata.
hao Red Cross inawezekana wakifiwa na wazazi wao watacheka
Kiufupi hakuna jeshi linayozuia mtu ukiwa na huzuni usilie au kutabaasamu
Kama Waziri Mkuu Kassim M. Kassim alilia Machozi baada ya kuaga kwa kumtizama Boss wake ina maana gani kwako, tena nasikia kuna Dini inakataza kuaga kwa namna hiyo.
 
Tulijua umetoa mada unamaanisha kumbe una kamfumo flani ka dharau kamekaa flani rohoni mwako ili uonekane umewashusha Masoja wetu kwamba nawewe ni Great thinker,mwisho wa siku acha shobo na vyombo vya ulinzi na usalama mwaisa.Sokapo apo.
Wale wale...

Kulia sawa ila si ki hivyo uwapo..na gwanda... chozi tu. .. soja naye ni binadam kama wengine na kazi yake ni kutumikia kama wengine...
Kawaida tu...JW sio ajabu..soka apo!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom