Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,698
Kama una akili timamu, ukikumbuka aliyofanya JPM machozi yanadondoka
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Kwhy machozi yasipodondoka sina akili timamu.??Kama una akili timamu, ukikumbuka aliyofanya JPM machozi yanadondoka
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Kwenye tukio gani!? Maana huwezi lia wakati mtu anapanda daladala..!!!Unawafahamu wale watoto MASKAUTI au wale vijana wa RED CROSS umewahi kuwaona wanalia? Au na wao hawana hisia za kibinadamu?
Hongera...Kama hujui kitu kaa kimya!! huyo ni wa ovyo kabisa hafai
Umesema vyema. Yaani skauti asiliie ila JWTZ alie haya ni maajabu.Ntajibu hili swali kwa mitazamo tofaut lkn jibu ni hili askar kulia msiban ni makosa sana tena sana sio kidpgo tena anaweza kupoteza kaz kabisa askar akipigwa kofi na bos wake haruhusiw kujishika hata shavu wanafundishwa kuwa ngali ngal
Ila kwa io picha kwa jinsi ninavyowajua JWTZ hio picha ni siasa ilitumika ili kuonesha umuhinu wa aliyeondoka JWTZ hawez kulia hata km likipigwa bomu la nyuklia pale dodoma yeye atakuwa mkavu tu
Hata wao ni binadamu pia wana moyo.Tunategemea askari wetu ndio wanabeba watu wanaozimia msibani sasa na wao wanapoanza kulia inaashiria nini?View attachment 1730237
Binafsi nilikuwa sijui nikisikia watu wanasema magoti yanakosa nguvu ila siku nimepokea taarifa ya msiba nilijikuta napiga magoti mwenyewe maana nguvu zilipungua sanaYah, you never miss a good thing until it's gone.
Nimerealize jana kuwa nilikuwa namkubali
Tulijua umetoa mada unamaanisha kumbe una kamfumo flani ka dharau kamekaa flani rohoni mwako ili uonekane umewashusha Masoja wetu kwamba nawewe ni Great thinker,mwisho wa siku acha shobo na vyombo vya ulinzi na usalama mwaisa.Sokapo apo.Ni kweli mbona skauti huwa hawalii?
Mwaisa wewe ni soja acha kulia. Wewe ndio unatakiwa kuwafariji na kubeba wanaozimia.Tulijua umetoa mada unamaanisha kumbe una kamfumo flani ka dharau kamekaa flani rohoni mwako ili uonekane umewashusha Masoja wetu kwamba nawewe ni Great thinker,mwisho wa siku acha shobo na vyombo vya ulinzi na usalama mwaisa.Sokapo apo.
Ni hawa wa mwendokasi ambao hawajaiva kimafunzo.. Jeshi halijawapika vema...lakini ni vipi kama analia kilio cha furaha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitakiwa ufanye utafiti mdogo tu kabla ya kupost nadhani usingeandika chochote. Askari hata wazoefu na wenye vyeo zaidi ya huyo hulia.
Unge search hata youtube ungepata video nyingi sana
Askari hastahiki kuonyesha isia zake popote akiwa kazini,Mara nyingi maamuzi ya hisia hayawagi sahihi.Kwani wao hawana hisia!? wao si binadamu!?