Je, ni sahihi askari kulia msibani?

SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
4,040
8,895
Tunategemea askari wetu ndio wanabeba watu wanaozimia msibani sasa na wao wanapoanza kulia inaashiria nini?
IMG_20210320_182618_426.JPG
 
Kulia sio udhaifu ila kilio ni ishara ya hisia za ndani


sio makosa kwa askari kulia mara nyingi askari wa urusi pamoja na Rais wao Putin huwa wanalia wakati wa kuimba nyimbo ya taifa

by my side nakumbuka kipindi nipo kidato cha sita niliwai kulia wakati wa kuimba nyimbo ya taifa baada ya muda habari yangu ikawa gumzo na nakumbuka nilipata nafasi ya kwenda JKT kwa sababu hiyo shukran za dhati kwa meja general salum kijuu
 
Maumivu ya moyo hususani kufiwa au kupigwa chini na totozi hayana msoja mjomba! Imajini unafumba macho, ile kufumbua mtu wa karibu unasikia yuko mbele ya haki-maumivu yake si ya nchi hii. Kwa hiyo kulia ni kawaida tu. Hebu chukulia huyo jamaa ni mpwa wa JPM halafu vuta picha ingekuwa wewe hapo
 
Back
Top Bottom