Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Huyu rafiki ulisoma nae A level, wakati huo nyumbani mlikutana mnapitia tough life na huyu rafiki alikuchukua kama ndugu yake. Chochote alicholetewa na wazazi wake alikushirikisha.
Ulipata bahati ya kwenda USA kusoma na ulizamia. Sasa unavibali. Huyu rafiki yako amekualika kwenye harusi yake Bongo. Umekuja wiki moja kabla ya harusi na umefikia hotelini.
Unakutana na rafiki yako mnakwenda kwenye kitchen party. Kwakuwa wewe ndiye best man.
Unamuona bibi harusi kwa mara ya kwanza lakini sura yake si ngeni. Unakumbuka mlikutana kwenye hoteli uliyofikia.
Kumbe bibie alikwenda kuagana na mpenzi wake wa zamani. Uliwaona kwenye corridor wakiwa kwenye mahaba mazito.
Ukiwa kama mwanaume utachukua uamuzi gani hapa?