Ajira Tanzania
Member
- Feb 8, 2017
- 79
- 27
wakat niko kweny daladala la gongo la mboto naelekea kumtembelea jamaa yangu pande za kisemvule kuna jamaa akawa anamuomba ushauri mwenzake..
huyo jamaa kasomea procurement sasa anamwambia mwenzake anataka kubadili fani asomee post graduate ya marketing ili aweze kubadili fani awe mtu wa marketing, kwa maana nyingine mtu anayesoma postgraduate ya kozi tofauti na bachelor yake anakuwa kama amebadili fani.
je ni kweli ilo jambo liko sahihi?