el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,051
Vitabu vyetu (nilivyosoma mimi)vya historia vinatuambia kwamba wayahudi zaidi ya milioni 5 waliuwawa katika Uongozi wa Hitler, hili jambo nimekuwa nikiliamini mpaka nilipokutana na video moja youtube ambayo imenifanya nihisi huenda ikawa ulikuwa ni mpango tuu au Propaganda za kutaka kujimegea eneo lao la kuishi..
Ningependa kujua kwa wenye uelewa zaidi katika historia ili nizidi kupata upeo wa kufahamu upande upi ni sahihi, Vitabu vingi vimeelezea hili jambo kwa kutaja tu na kuacha maswali mengi sana.....
Ningependa kujua kwa wenye uelewa zaidi katika historia ili nizidi kupata upeo wa kufahamu upande upi ni sahihi, Vitabu vingi vimeelezea hili jambo kwa kutaja tu na kuacha maswali mengi sana.....