Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

Ha ha ha ha ha noma sana mkuu

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mwenye uhakika bt wanaosomeshwa wapo lakin hatujui kama n salama kwa matumiz ya binadam
 
1. Kwa hiyo sifa ya kujiunga na chuo kikuu ni kuwa muathirika wa HIV!!

2. Kwa maana nyingine mama Kikwete anao uwezo wa kuamuru mtu/watu kujiunga na chuo kikuu!!

3. Wewe ulivyoyasikia hayo hukuwa na sbb yoyote ya msingi ya kuchanganya na zako!!
 
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa,nimesoma TIA mbeya campus nikweli wapo kila mwaka kila Chuo,lkn isiwe sababu ya huo uzushi mitaani kuna Wa ngapi waathirika msishangae mje mshangae Wa Chuo,unaependa ngono bila kinga walau penda kupima uishi na mpnz mmoja, hawawezi acha kusoma kwasabu ya uathitika,hakuna anaeomba kupata virusi na wengine kuzaliwa navyo so akili kichwani

Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
 
Bado lipo hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…