Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

Hiyo ni kawaida mkuu
Wanawake hawaogopagi mi siendagi ikifikiaga napangaga safari anaenda mwenyewe kuna wakati nilienda baada ya vipimo nikawa nimelowa nikapita tu home kubadili nguo sasa
Ila mwanzo nilienda

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ha ha noma sana mkuu

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mwenye uhakika bt wanaosomeshwa wapo lakin hatujui kama n salama kwa matumiz ya binadam
 
Wana jf kuna siku nilikuwa napata serengeti baridi nikiwa iringa na wanafunzi fulani wa vyuo vikuu vya iringa(wanaume) wakawa wanapeana vitisho kwamba mama salma kikwete kawamwaga wasichana karibu 500 wanaoishi na vvu katika vyuo vyote vya iringa yaani 1@500. Je kuna kaukweli kokote au ni propaganda

nawasilisha
1. Kwa hiyo sifa ya kujiunga na chuo kikuu ni kuwa muathirika wa HIV!!

2. Kwa maana nyingine mama Kikwete anao uwezo wa kuamuru mtu/watu kujiunga na chuo kikuu!!

3. Wewe ulivyoyasikia hayo hukuwa na sbb yoyote ya msingi ya kuchanganya na zako!!
 
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa,nimesoma TIA mbeya campus nikweli wapo kila mwaka kila Chuo,lkn isiwe sababu ya huo uzushi mitaani kuna Wa ngapi waathirika msishangae mje mshangae Wa Chuo,unaependa ngono bila kinga walau penda kupima uishi na mpnz mmoja, hawawezi acha kusoma kwasabu ya uathitika,hakuna anaeomba kupata virusi na wengine kuzaliwa navyo so akili kichwani

Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
 
Wana jf kuna siku nilikuwa napata serengeti baridi nikiwa iringa na wanafunzi fulani wa vyuo vikuu vya iringa(wanaume) wakawa wanapeana vitisho kwamba mama salma kikwete kawamwaga wasichana karibu 500 wanaoishi na vvu katika vyuo vyote vya iringa yaani 1@500. Je kuna kaukweli kokote au ni propaganda

nawasilisha
Bado lipo hili?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom