Je, ni kweli wanawake hawapendani?

Je, ni kweli wanawake hawapendani?

Wanawake ni kweli hatupendani hii iko wazi but kuna mtu atapinga,
Ukweli sometimes usemwe tu.
 
Dota love nakuona🤣🤣
Mama zingatia ushauri wangu tafadhali, Halafu ukianzisha usisahau kunitag nije kukazia, yani hatutakiwi kuyapumzisha haya mafurushi hata kidogo 🤣🤣
 
Back
Top Bottom