Je, ni kweli wanaume wanataka salad?

Je, ni kweli wanaume wanataka salad?



Mhhhhh, mbona umenigusa kihivyo? Nikuulize wewe, je jamaa yako anajisikiaje akiwa na wewe peke, je anakwenda sana chooni ama kusingizia kuwa ana usingizi anakwenda kulala ila wewe ukienda chumbani baada ya masaa bado unamkuta yuko busy na simu au anaweweseka? Ni pm basi tupenae ushauri na tutakiane hali,au vipi?
 
hii falsafa ni ya kweli kabisa. mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja. it takes a sensible man to realize that one woman is enough for him.

Mbona haya tunayasema kila mara,

Hakuna kiumbe chochote cha kiume kimeumbwa kwa ajili ya jike moja. Why binadamu?
 
Mbona haya tunayasema kila mara,

Hakuna kiumbe chochote cha kiume kimeumbwa kwa ajili ya jike moja. Why binadamu?
ni kweli kabisa, hata beberu linataka majike yote zizini yawe yake pekeake. ni nature ndo ilivo. lakin binadamiu tumepewa akili na utashi tuweze kuishinda hii nature. japo ni ngumu sana kwa kweli.
 
Je ni kweli wanaume wanataka saladi??
Nikajua jicho maana kule napo mbolea ipo kumbe
 

Kha! We jamaa mbona sijaelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…