Je, ni kweli utumwa ulitwaa mbegu bora ya waafrika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, ni kweli utumwa ulitwaa mbegu bora ya waafrika?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Papa D, Dec 24, 2010.

 1. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Bara la Afrika limekuwa likikumbwa na matatizo yanayofanana mfano: angalia Ivory coast, Zimbabwe, Kenya, Sudan na kwingine. imefika wakati baadhi ya watu wanajiaminisha kwamba hali hii inatokea kwa sababu Waafrika wenye akili, nguvu na mawazo ya kimapinduzi walichukuliwa utumwani waliobaki walikuwa waoga na wenye uwezo mdogo kiakili. Je, kuna ukweli wowote katika hili?
   
Loading...