Je ni kweli ukristo sio dini?

Je ni kweli ukristo sio dini?

unauliza makofi polisi, ni dini ya paulo
IMG_1140.jpg

IMG_0932.jpg
 
Marko 16:15-16

15Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. 16Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.

Mathayo 28:19

Nendeni basi, mkawafanye watu wa mataifa yote wawe wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.

Tunaambiwa ukristo sio dini Hawa watu ambao yesu alikuwa anawatuma waende ulimwengu wakawafanye watu wawe wanafunzi au wafuasi wa yesu walikuwa wa dini gani ? Au Baada ya watu kuamini na kubatizwa watakuwa wa dini gani ?
Unawasikiliza waislamu? Upeo wao ni mdogo sana kwenye kila kitu.
 
Ili la magaidi kuwalazimisha watu wafate dini Yao linapatana wapi na mafundisho
Yesu amekukataa wewe kwenye biblia, huna pakukimbilia isipokuwa Uislam tu. Soma:

31 Mtu huyo Mungu amemtukuza kwa mkono wake wa kuume, awe Mkuu na Mwokozi, awape Waisraeli toba na msamaha wa dhambi.
 
Marko 16:15-16

15Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. 16Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.

Mathayo 28:19

Nendeni basi, mkawafanye watu wa mataifa yote wawe wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.

Tunaambiwa ukristo sio dini Hawa watu ambao yesu alikuwa anawatuma waende ulimwengu wakawafanye watu wawe wanafunzi au wafuasi wa yesu walikuwa wa dini gani ? Au Baada ya watu kuamini na kubatizwa watakuwa wa dini gani ?
Huyo Yohana aliyekuwa anabatiza watu alikuwapo kabla ya YESU ,
Je yeye alibatizwa na nani?

Na kama YESU ndy aliyeleta ukristo hayo mamlaka ya Yohana kubatiza watu alipewa na nani?.

Na kwanini watu wabatizwe?
 
Kwa kujibu wa Islam ili uwe muislam ni lazima usilimu
Je muislam wa kwanza kabisa yeye alisilimishwa na Nani ?

Pili ubatizo ni tamaduni ya kikristo ili uwe mkristo ni lazima ubatizwe
 
Mataifa ni 12 tu yanayojulikana kwenye biblia. hata Yesu kishasema nyiny hana kiti chenu, soma viti vipo vingapi mbinguni:

Mathayo 19:
28 Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.
Bi Mkubwa embu acha tafsiri zako , soma kilichoandikwa.

Hapo inasema wakristo ndio wataokao wahukumu waisraeli
Mathayo 19:28
" Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi(Wakristo), katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.

Yesu aliwanyang'anya waisraeli ufalme wa mbinguni , kutokana waliikataa injili ya Yesu na hadi kumuua
Mathayo 21:43
" “Kwa hiyo nawaambieni, ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na kupewa watu wa mataifa mengine wenye kutoa matunda yake.”

Kuwa uzao wa Ibrahim haimaanishi ndiyo lazima unaingia mbinguni
Mathayo 3 : 9
" wala msiwaze mioyoni mwenu kwamba, Tunaye baba, ndiye Ibrahimu; kwa maana nawaambia ya kwamba Mungu aweza katika mawe haya kumwinulia Ibrahimu watoto "
 
Huyo Yohana aliyekuwa anabatiza watu alikuwapo kabla ya YESU ,
Je yeye alibatizwa na nani?

Na kama YESU ndy aliyeleta ukristo hayo mamlaka ya Yohana kubatiza watu alipewa na nani?.

Na kwanini watu wabatizwe?
- Yohana na Yesu wamepishana kwa umri wa miezi 6 tu.
- Yohana alikua mtangulizi( msafisha njia/anayemtambulisha) Yesu.
- Ubatizo sio tendo la kukubadili dini na kuwa mkristo . Kwa hiyo hauwezi kubatizwa kabla ya kuwa mkristo. Ubatizo ni tendo la kujivua character ya zamani( character ya dhambi ) , na kuzaliwa upya katika character mpya( ya usafi wa moyo ) na pia kufuta dhambi zote za awali
 
Yesu amekukataa wewe kwenye biblia, huna pakukimbilia isipokuwa Uislam tu. Soma:

31 Mtu huyo Mungu amemtukuza kwa mkono wake wa kuume, awe Mkuu na Mwokozi, awape Waisraeli toba na msamaha wa dhambi.
Huo uislam umeanzishwa na Wakatoliki ni tawi la Ukristo,so unaachaje tawi unafata shina.
 
Yesu amekukataa wewe kwenye biblia, huna pakukimbilia isipokuwa Uislam tu. Soma:

31 Mtu huyo Mungu amemtukuza kwa mkono wake wa kuume, awe Mkuu na Mwokozi, awape Waisraeli toba na msamaha wa dhambi.

Kumbe hujui kuwa mtu yeyote mcha Mungu anaitwa Israeli ?
 
unauliza makofi polisi, ni dini ya pauloView attachment 2702700
View attachment 2702701
- Yesu ni mwana wa MUNGU, na jina la baba yake ni Jehovah/Elohim/Adonai.

- Paulo alikuta tayari ukristo umeenzishwa
⭐ Kulikuwa tayari na kiongozi wa ukristo ameshateuliwa na Krito(Yesu) mwenyewe, ambaye kiongozi hiyo ni Petro Mathayo 16 : 18-19
⭐ Kulikuwa tayari na kanisa . Mtu wa kwanza kutaja neno kanisa kwenye biblia ni Yesu
⭐ Paulo kuwepo siku ya ambayo Wakristo wanaitwa hivyo au kuwa na vitabu vingi kwenye agano jipya haifanyi kuwa mwanzilishi wa ukristo.
Siku ambayo waamuni waliofata legacy ya Yesu waliitwa wakristo huko Antokia , Paulo alikwepo. Lakini wala yeye paulo, hata si mwanzilishi wa hata hilo kanisa la Antiokia . Kutokana alienda kuitwa, wakati waumini wa Antiokia wakiwa wengi ( Kanisa limeshakua kubwa )
 
Yesu amekukataa wewe kwenye biblia, huna pakukimbilia isipokuwa Uislam tu. Soma:

31 Mtu huyo Mungu amemtukuza(amemchagua) kwa mkono wake wa kuume, awe Mkuu na Mwokozi, awape Waisraeli toba na msamaha wa dhambi.
Hivi unasomaga kabla ya kufikiri , Au unafikiri kabla ya kusoma
 
Ukristo sio Dini ndio Kwa sababu Dini ni Njia ya Mwanadamu kumtafuta Mungu wao.
Katika hizo Njia kuna Amri, sheria, na Hukumu.

Ili Dini iwe dini lazima iwe na Amri, sheria na Hukumu.
Ukristo hauna Sifa hiyo.
Ukristo unaamri kuu moja tuu isemayo "Upendo" Yaani Mpende Bwana Mungu wako Kwa Moyo wako wote, Akili zako zote na nguvu zako zote. Kisha Mpende jirani yako kama Nafsi yako.

Lakini haina hukumu Kwa wanaokiuka amri hiyo. Hivyo amri hiyo automatically inakuwa batili.

Lakini Uyahudi ni Dini Kwa sababu inatoa amri na sheria na hukumu Kwa watakaokiuka.
Uislam ni Dini Kwa sababu NAO unatoa amri na sheria na Hukumu Kwa watakaokiuka.

Ukristo sio Dini Kwa sababu umejikita Kiroho zaidi. Kumbuka Dini ni lazima ijikite kimwili Kwa sababu wanadamu Sisi ni miili na Matendo yetu ndio hutoa tafsiri ya kile kinachoendelea moyoni. Na tunahusiana Sisi Kwa Sisi Kwa Njia ya Mwili ndio maana dini inaweka sheria za kudhibiti mwili na sio Roho.

Ukristo sio Dini Bali ni ufuasi WA mhusika aitwaye Kristo ambaye dini yake ilikuwa Uyahudi. Na angehukumiwa Kwa mujibu wa dini ya kiyahudi ikiwa angekosea moja ya kanuni, sheria na amri za dini ya Kiyahudi.
 
Wagalatia 2:16

hali tukijua ya kuwa mwanadamu hahesabiwi haki kwa matendo ya sheria, bali kwa imani ya Kristo Yesu; sisi tulimwamini Kristo Yesu ili tuhesabiwe haki kwa imani ya Kristo, wala si kwa matendo ya sheria; maana kwa matendo ya sheria hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki.
 
Ukristo sio Dini ndio Kwa sababu Dini ni Njia ya Mwanadamu kumtafuta Mungu wao.
Katika hizo Njia kuna Amri, sheria, na Hukumu.

Ili Dini iwe dini lazima iwe na Amri, sheria na Hukumu.
Ukristo hauna Sifa hiyo.
Ukristo unaamri kuu moja tuu isemayo "Upendo" Yaani Mpende Bwana Mungu wako Kwa Moyo wako wote, Akili zako zote na nguvu zako zote. Kisha Mpende jirani yako kama Nafsi yako.

Lakini haina hukumu Kwa wanaokiuka amri hiyo. Hivyo amri hiyo automatically inakuwa batili.

Lakini Uyahudi ni Dini Kwa sababu inatoa amri na sheria na hukumu Kwa watakaokiuka.
Uislam ni Dini Kwa sababu NAO unatoa amri na sheria na Hukumu Kwa watakaokiuka.

Ukristo sio Dini Kwa sababu umejikita Kiroho zaidi. Kumbuka Dini ni lazima ijikite kimwili Kwa sababu wanadamu Sisi ni miili na Matendo yetu ndio hutoa tafsiri ya kile kinachoendelea moyoni. Na tunahusiana Sisi Kwa Sisi Kwa Njia ya Mwili ndio maana dini inaweka sheria za kudhibiti mwili na sio Roho.

Ukristo sio Dini Bali ni ufuasi WA mhusika aitwaye Kristo ambaye dini yake ilikuwa Uyahudi. Na angehukumiwa Kwa mujibu wa dini ya kiyahudi ikiwa angekosea moja ya kanuni, sheria na amri za dini ya Kiyahudi.

Warumi 3:19-22

Basi twajua ya kuwa mambo yote inenayo torati huyanena kwa hao walio chini ya torati, ili kila kinywa kifumbwe, na ulimwengu wote uwe chini ya hukumu ya Mungu; 20kwa sababu hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki mbele zake kwa matendo ya sheria; kwa maana kutambua dhambi huja kwa njia ya sheria.
Haki Kupitia kwa Imani
21 Lakini sasa, haki ya Mungu imedhihirika pasipo sheria; inashuhudiwa na torati na manabii; 22ni haki ya Mungu iliyo kwa njia ya imani katika Yesu Kristo kwa wote waaminio. Maana hakuna tofauti;
 
Ukristo sio Dini ndio Kwa sababu Dini ni Njia ya Mwanadamu kumtafuta Mungu wao.
Katika hizo Njia kuna Amri, sheria, na Hukumu.

Ili Dini iwe dini lazima iwe na Amri, sheria na Hukumu.
Ukristo hauna Sifa hiyo.
Ukristo unaamri kuu moja tuu isemayo "Upendo" Yaani Mpende Bwana Mungu wako Kwa Moyo wako wote, Akili zako zote na nguvu zako zote. Kisha Mpende jirani yako kama Nafsi yako.

Lakini haina hukumu Kwa wanaokiuka amri hiyo. Hivyo amri hiyo automatically inakuwa batili.

Lakini Uyahudi ni Dini Kwa sababu inatoa amri na sheria na hukumu Kwa watakaokiuka.
Uislam ni Dini Kwa sababu NAO unatoa amri na sheria na Hukumu Kwa watakaokiuka.

Ukristo sio Dini Kwa sababu umejikita Kiroho zaidi. Kumbuka Dini ni lazima ijikite kimwili Kwa sababu wanadamu Sisi ni miili na Matendo yetu ndio hutoa tafsiri ya kile kinachoendelea moyoni. Na tunahusiana Sisi Kwa Sisi Kwa Njia ya Mwili ndio maana dini inaweka sheria za kudhibiti mwili na sio Roho.

Ukristo sio Dini Bali ni ufuasi WA mhusika aitwaye Kristo ambaye dini yake ilikuwa Uyahudi. Na angehukumiwa Kwa mujibu wa dini ya kiyahudi ikiwa angekosea moja ya kanuni, sheria na amri za dini ya Kiyahudi.
Wacha kutoa vitu akilini

Ukristo una amri na sheria kutoka Musa na baadhi ya sheria kuboreshwa zaidi na Yesu

Amri
Yesu alizitaja amri zile alizopewa Musa
Luka 18 : 18-30 " Tena, mtu mkubwa mmoja alimwuliza, akisema, Mwalimu mwema, nifanye nini ili nipate kuurithi uzima wa milele? Yesu akamwambia, Mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja, naye ndiye Mungu. Wazijua amri; Usizini, Usiue, Usiibe, Usishuhudie uongo, Waheshimu baba yako na mama yako . . . . . . . "

Sheria
Agano jipya nimwendelezo wa agano la kale na haikuja kufuta agano la kale
Mathayo 5 : 17 " Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. "
 
Swali lako siyo la kijinga.
-Ukristu=unaojinasibisha na Kristu/Wamfuatao Kristu/Yesu Kristu.
-Mkristu=Mfuasi wa Yesu Kristu.
Kama Yesu Kristu aliwatuma wanafunzi waliokuwa wafuasi wake,basi walikuwa Wakristo.Maana yake ni wa kwake Kristo Yesu.Nimekujibu kwa lugha nyepesi ili uendelee kutandika kitanda.
Umepiga mulemule kiongozi!
 
Mkuu, ktakacho kupeleka peponi au motoni ni matendo yako, siyo dinii

Anza kuondoa huo ujinga kwa maelezo hayo hapo juu, ikishindikana soma haya hapa chini

Naambatisha
Jibu lako mbona jepesi hivio au ujafahamu muulizaji kauliza nn?namnukuu je ukirito dini?
 
Back
Top Bottom