Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,543
- 9,167
Ukristo siyo dini. Ni mpango wa Mungu kuwafanya watu wafuate sheria zake (watende mema).Marko 16:15-16
15Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. 16Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Mathayo 28:19
Nendeni basi, mkawafanye watu wa mataifa yote wawe wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.
Tunaambiwa ukristo sio dini Hawa watu ambao yesu alikuwa anawatuma waende ulimwengu wakawafanye watu wawe wanafunzi au wafuasi wa yesu walikuwa wa dini gani ? Au Baada ya watu kuamini na kubatizwa watakuwa wa dini gani ?
Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu ila Mungu au Yesu hawana dini.