Wacha kutoa vitu akilini
Ukristo una amri na sheria kutoka Musa na baadhi ya sheria kuboreshwa zaidi na Yesu
⭐ Amri
Yesu alizitaja amri zile alizopewa Musa
Luka 18 : 18-30 " Tena, mtu mkubwa mmoja alimwuliza, akisema, Mwalimu mwema, nifanye nini ili nipate kuurithi uzima wa milele? Yesu akamwambia, Mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja, naye ndiye Mungu. Wazijua amri; Usizini, Usiue, Usiibe, Usishuhudie uongo, Waheshimu baba yako na mama yako . . . . . . . "
⭐ Sheria
Agano jipya nimwendelezo wa agano la kale na haikuja kufuta agano la kale
Mathayo 5 : 17 " Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. "