AiseeHuwezi jadiliana na mgonjwa akili,atakukausha mate tu


Kumbe Faiza ni mgonjwa wa akili? Kwa nini unamtukana ndugu yako we jamaa?
AiseeHuwezi jadiliana na mgonjwa akili,atakukausha mate tu


Unaabudu juaNi wajanja waliamua kuuteka ulimwengu. Na ulimwengu kwa miugiza wamepokea hiyo Imani Ila sio wote. Na ufufuko nao ulichongwa kiaina. Dini ya kweli ipo rohoni mwako, wewe na Mungu wako. Mimi nina Imani na jua kama Mungu wangu, hata kama sio kweli, maadam hakuna binadamu mwenye ukweli, jua limewekwa na Mungu, hivyo ninatukuza kazi iliyofanywa na Mungu. Kwa hiyo ninaabudu kitu kinachoonekana Ila kimeumbwa na Mungu.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app