William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Tanzania's Richest Man To Sell Stake in Vodacom.
Tanzania's richest man,-Rostam Azizi, has agreed to sell off- a significant chunk of his stake in mobile telecoms outfit Vodacom Tanzania to Vodacom Group Ltd, the African subsidiary of British telecoms giant Vodafone Group PLC, according to a statement from Vodacom.
Azizi, 49, is the controlling shareholder of Cavalry Holdings, a Jersey island-registered private investment company through which he owned a 35% stake in Vodacom Tanzania. He will be selling a 17.2% stake for $242 million, while retaining a 17.8% stake in the company.
The Johannesburg Stock Exchange-listed-Vodacom Group currently owns 65% of Vodacom Tanzania, the country's largest mobile telecoms network, with over 9.5 million active subscribers. If the deal is approved by South Africa's Reserve Bank, Vodacom Group will own 82.2% of the company.
"The transaction allows Vodacom to increase its exposure to one of Vodacom's key investments in sub-Saharan Africa," the company said in a press statement. "Vodacom Tanzania has been Vodacom's most successful investment outside of South Africa to date."
Vodacom said it will acquire the 17.2% interest in Vodacom Tanzania Limited through the subscription for new shares in Cavalry Holdings, consequently diluting Cavalry's existing shareholders' interest in Cavalry from 100% to 51%.
This year, Rostam Azizi, a fifth generation Tanzanian of Persian origin, debuted on FORBES annual rankings of Africa's Richest People with a net worth estimated at $1 billion. Azizi has over the years built a reputation as one of East Africa's shrewdest investors.
Apart from his Vodacom stake, he owns Caspian Mining, a contract mining company that provides mining services to BHP Billiton and Barrick Gold, and a minority stake-in a container terminal in Tanzania. He also owns extensive real estate in Tanzania, Dubai, Oman and Lebanon. Azizi did not respond to a request for comment about the Vodacom Tanzania sale.
- Hivi karibuni kulikuwa na habari za kibiashara kwamba Rostam Aziz ameuza share zake alizokuwa nazo VODACOM, sio siri kwamba amekuwa akimiliki share 35% ya kampuni hiyo kubwa sana hapa nchini, Rostam aliuza Share 17% kwa Shillingi za Tanzania Billioni 387.
- Swali la the dataz ni je ni kweli hizi alizouza zilikuwa ni share zake? Kama sio zake ni za nani? Na kwa nini zimeuzwa now kuelekea uchaguzi wa Rais 2015 na sio huko nyuma? Ninaamini majibu ya hili swali yana habari nzito sana na mustakabali wa Taifa letu was just thinking aloud!!
FMES - Wazee wa Sauti ya Umeme!!
Mara useme Rostam ameuza share zake, mara uulize ni zake au si zake.
Jipange upya hueleweki.
Kama unataka kujuwa kama share ni za Rostam au si Rostam? unaweza kutembelea BRELA, unalipia 6,000 unafanya official search unapata kujuwa yote uyatakayo, au una lingine zaidi?
Pitia hapa kwa maelezo zaidi: BRELA
Rostam ni Mfanyabiashara, na lengo la mfanyabiasha yeyote ni kutengeneza faida kubwa iwezekanavyo! Hakuna tatizo kwa yeye kuuza share zake...Swali la msingi hapa ni je? Amelipa kodi ya ongezeko la thamani (capital gain) kwa mujibu wa sharia?...TRA wanatakiwa waje na majibu sahihi hapa...
Kama hazijauzwa, tunaomba Serikali yetu kwa niaba ya watanzania wazinunue.- Hivi karibuni kulikuwa na habari za kibiashara kwamba Rostam Aziz ameuza share zake alizokuwa nazo VODACOM, sio siri kwamba amekuwa akimiliki share 35% ya kampuni hiyo kubwa sana hapa nchini, Rostam aliuza Share 17% kwa Shillingi za Tanzania Billioni 387.
- Swali la the dataz ni je ni kweli hizi alizouza zilikuwa ni share zake? Kama sio zake ni za nani? Na kwa nini zimeuzwa now kuelekea uchaguzi wa Rais 2015 na sio huko nyuma? Ninaamini majibu ya hili swali yana habari nzito sana na mustakabali wa Taifa letu was just thinking aloud!
FMES - Wazee wa Sauti ya Umeme!!
- Really? bwa! ha! ha!
Es
Rostam ni Mfanyabiashara, na lengo la mfanyabiasha yeyote ni kutengeneza faida kubwa iwezekanavyo! Hakuna tatizo kwa yeye kuuza share zake...Swali la msingi hapa ni je? Amelipa kodi ya ongezeko la thamani (capital gain) kwa mujibu wa sharia?...TRA wanatakiwa waje na majibu sahihi hapa...
Jambo moja la msingi mkuu ambalo utakubaliana nami ni kuwa Rostam kamwe hawezi kufanya biashara ya hasara hata siku moja...btw unafikiri uchaguzi mkuu ukifanyika na CCM kushinda ama kushindwa itakuwa na impact kubwa kwa biashara zake? Caspian pale Mwadui wamepewa kazi ya drilling and blasting, wanafanyakazi ya kuchekecha almasi ambayo wamekadiria uhai wa mgodi ni miaka 40 plus ijayo! Kutokana na mktaba walioingia serikali itaanza kulipwa mrabaha kuanzia 2017!... kama almasi inalipa zaidi, kwanini asitumie fedha hizo kuongeza production?...Siyo kwamba namtetea Rostam, la hasha...Tatizo letu ni mifumo mibovu na TRA hawajaweza kukusanya kodi ya kutosha kwenye maeneo mengi ya uwekezaji...Ndiyo maana wanasema nchi yetu nikama Shamba la bibi ambapo kila mpita njia anajivunia na kuambaa zake ...- Kaka kama haupo fani ya biashara sio rahisi kuamini mfanya biashara wa status ya Rostam anaweza kuuza share zake 17% kutoka kampuni yenye faida ya ajabu kama VODACOM kaka mimi mfanya biashara sijafikiam level ya Rostam lakini najua kwamba haiwezekani na haijawahi kutokea Duniani unless ni Russia ambako Serikali inakulazimisha kuziuza,
- Wailuze wanaojua biashara kaka haipo hakuna mafanya bisahara mwenye akili timamu anayeweza kuuza share zote hizo kutoka VODACOM hasa kwa wakati huu impossible!1
ES
Kama hazijauzwa, tunaomba Serikali yetu kwa niaba ya watanzania wazinunue.
Mara useme Rostam ameuza share zake, mara uulize ni zake au si zake.
Jipange upya hueleweki.
Kama unataka kujuwa kama share ni za Rostam au si Rostam? unaweza kutembelea BRELA, unalipia 6,000 unafanya official search unapata kujuwa yote uyatakayo, au una lingine zaidi?
Pitia hapa kwa maelezo zaidi: BRELA