Unayafanyaje mzeeP2 Sina uhakika. Mimi najua majivu yakichanganywa na magadi efficiency 99%
Ameandika "Yote ni kuhofia nisije beba mimba nyingine ,maana nina mtoto wa miezi 7 now."Nimesikitika sana mleta mada unasema una watoto saba na bado haujajua siku za hatar kubeba mimba..
Mfumo wa maisha siku hizi umebadilika yani hata hii mizunguko kuwa regular 100% ni kwa wachache sanaKwani siku mbili baada ya hedhi ukisex unapata mimba?
Yaaani, shida tupu. Watu wanahitaji simple education kuhusiana na uzazi..Kwani siku mbili baada ya hedhi ukisex unapata mimba?
Hivi ukiwa na irregular cycles siku ya pili baada ya hedhi unaweza kupata mimba?😳Yaaani, shida tupu. Watu wanahitaji simple education kuhusiana na uzazi..
Unless otherwise ako na irregular cycles.
Hauwezi kupata mimba, irregular cycles ni mabadiliko tu ya tarehe za kuuona mwezi, kama Ilikuwa inaanza tarh 5 basi utaona tu haieleweki, mwezi huu tarh 5 ujao trh 8 ama tarh zinarudi nyuma.Hivi ukiwa na irregular cycles siku ya pili baada ya hedhi unaweza kupata mimba?😳
Cha kwanza Ni lazima ujue siku za kushika mimba Ni zipi ndio utakua na uhakika wa kuizuia hiyo mimba; kimsingi kwa walio wengi siku za kushika mimba Ni KUANZIA siku ya 10 Hadi 17 tangu siku ya kwanza kuona hedhi... Kwa mantiki hii wewe hapo hukua ktk hatari yoyote vya kubeba mimba.
Kwa maelezo Zaid karibu Dm
Hivi ukiwa na irregular cycles siku ya pili baada ya hedhi unaweza kupata mimba?
sawa nimekuelewa😍👍👍Siku 2 baada ya hedhi huwezi kupata ujauzito.
Hizi P2 kuweni nazo makini zitawaleteeni matatizo huko mbeleni, maana watu wamekuwa wakizitafuna kama peremende vile.
Inashauriwa kuzitumia si zaidi ya mara 2 kwa mwaka. Ila sasa imekuwa kama fashion wakimwagiwa ndani tu P2.