MissRaya
Member
- Sep 23, 2021
- 22
- 24
Habari za mda huu, naamini ni wazima wa afya na kama yupo anaeumwa Mungu atampa nafuu.
Niende kwenye point, iko ivi nilisex na mme wangu siku 2 baada ya KUMALIZA hedhi, yaani zile siku ambazo ni salama ila alimwagia ndani😥
Ikabidi nitumie p2 mapema kabla ya masaa 24 kuisha. Yote ni kuhofia nisije beba mimba nyingine maana nina mtoto wa miezi 7 now.
So naomba kwa wenye uzoefu wa hizo p2 mnijuze, kuwa ni kweli zinazuia ujauzito?